Nenda na uingie maeneo ya Kambi yaJeshi au kituo Cha polisi utaopoa pisi Kali mwenyewe hutaamini mkuu na utakuja kunishukuru.Wakuu wa MMU habari za sasa,
Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.
Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.
Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.
Umri wangu ni 26.