Ninyi Wenzangu mnakutana na wachumba maeneo gani?

Ninyi Wenzangu mnakutana na wachumba maeneo gani?

Hapo kuna mawili.

Eiza Ungeanza na hao unaokutana nao kwanza huku unatafuta wachumba.

Au badala ya kutembea ukimbie kimbie ili uwafikie huenda wapo mbali kidogo.

[emoji852][emoji852][emoji852][emoji852]
Shukurani kwa ushauri wako.
 
Awo wanafunzi wa level gan kama chuo chukua chuma alaf swala la mke wa mtu alipo cha mtu huliwa na mtu wew tongoza ata wao""""ONYO"""mke wa mtu sum
Wakuu wa MMU habari za sasa,

Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.

Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.

Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.

Umri wangu ni 26.
 
Kumbe na nyie hiyo hali inawapataga

Kwanini sasa mnakuaga na viburi na kusema kirahisi nimempiga chin
Kumbe joto la jiwe linakuaga kali kiasi hiko[emoji38][emoji38][emoji38]
ohoo,inatupata sana,,ni tunakazaga kichwa tu ukimuona mwanamke yupo hapo unahisi umuhitaji,ngoja aindoke sasa,mimi joto linaniendea vibaya hapa nina kama week 3 sijahisi njaa kisa nimeachwa😅 nakula mara moja tu kwa siku
 
Back
Top Bottom