suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
Kwahiyo ulishapata demu?Pole sana aisee nishawai pitia iyo issue
Kimsingi wanawake siyo wengi Kama wengi wanavyodai .. kwakua siyo kila mwanamke niwakutongoza ..
Kuna wake zawatu.. Kunawalio kuzidi umri ... Kuna wadogo kabisa ambao siyo size yako ..
Mkuu natafuta namiKwahiyo ulishapata demu?
Ndio wapo wawili japo wamauzauza ila nakomaa nao tuKwahiyo ulishapata demu?
Ili swali huwa linakera Sana bs tu. Hivi kweli unaweza simamisha km huna ela? [emoji16]Mkuu unataka totozi? Pesa ipo?
nina miez minne nimeyumba kiuchumi yaan pesa imekauka haswa, hata nguvu tu ya kuomba namba mdada siipati. Uko kusimamisha umefika mbali sana mkuu.Ili swali huwa linakera Sana bs tu. Hivi kweli unaweza simamisha km huna ela? [emoji16]
Inatakiwa uwe na hela kiasi gani ndiyo usimamishe?Ili swali huwa linakera Sana bs tu. Hivi kweli unaweza simamisha km huna ela? [emoji16]
Kwani lazima uwe nae me nipo pamoja nawe tukae single mpaka muujiza utendekeWakuu wa MMU habari za sasa,
Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.
Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.
Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.
Umri wangu ni 26.
Acha tu mkuu, hawajui Yani. Ukiwa umevurugwa huhisi chochote kile ata jinsia tofauti ikipita unaiona km mko jinsia 1 vile.... Ukiona mtu anapata nguvu ya kutaka mpenzi ujue ana pesa ya kumhandle.nina miez minne nimeyumba kiuchumi yaan pesa imekauka haswa, hata nguvu tu ya kuomba namba mdada siipati. Uko kusimamisha umefika mbali sana mkuu.
Unazoona zinakutosha kummiliki mtt wa mtu mkuuInatakiwa uwe na hela kiasi gani ndiyo usimamishe?
Mi mwenyewe nimeteseka sana Ila shida ilikuwa udono zege nadhan na wewe mkuu hili ndo tatizo lako kubwa TOTO ZIPO KIBAOWakuu wa MMU habari za sasa,
Mimi kijana wenu, nimejaribu kazini, mtaani, stendi(huku wapo ila kila mtu busy) lakin wapi.
Labda mnisaidie maeneo gani nitakutana nao.
Wakati mwingine natoka Geto natembea tembea lengo nikutane na mdada anaenifaa nimpe ya moyoni, naishia kukutana na wake za watu na wanafunzi.
Mfano hadi sasa sina hata demu.
Mnisaidie mwenzenu upweke unanitesa.
Umri wangu ni 26.
Hivi Badoo unapataje maana kila nikitaka kutuma message kwa dem naambiwa verify account ..natamani kujua kiukweliKama mtaani kwako huwaoni Ingia Badoo utapata wa kutosha
Hivi Badoo unapataje maana kila nikitaka kutuma message kwa dem naambiwa verify account ..natamani kujua kiukweli