Nataka kuanza kunywa pombe. Ila sijui ninywe bia gani? Hebu nishaurini wadau.
usianze kunywa pombe! ni hatari kwa afya ya mwili na afya ya akili yako!
unaniingiza choo cha kike wewe
anza na konyagi
inachangamsha mwili na kurekebisha mfumo wa damu ufanye kazi sawia..
hii nimeipenda, mi namshauri asinywe pombe as ni mbaya. Inachangia sana umasikini kwa vijana
Wewe umeathirika nayo?Umeongea point mkuu, kwa ambae hujaanza ni vema usitaman kitu mbaya hiyo haina maana kabsa.
Wewe umeathirika nayo?
hii nimeipenda, mi namshauri asinywe pombe as ni mbaya. Inachangia sana umasikini kwa vijana