Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa kili 1 kila siku, inajenga afya
kumbe na weye pia???
anaonekana kadhamilia kabisa....
wewe unakunywa bia gani?
Nataka kuanza kunywa pombe. Ila sijui ninywe bia gani? Hebu nishaurini wadau.
Tafiuta zile zinaitwa double punch
what do you mean?
kunywa chimpumu....gongo au ulazi au pingu hazina garama buku kumi unalewesha kijiji sio bia kumi hujaliweNataka kuanza kunywa pombe. Ila sijui ninywe bia gani? Hebu nishaurini wadau.
Malaika mimi kwa muda uliopost hii kitu lazima ndio utakua unaipiga hii, nasikia ina sukari nyingi sana hiyoAnzia hii.
Malaika mimi kwa muda uliopost hii kitu lazima ndio utakua unaipiga hii, nasikia ina sukari nyingi sana hiyo
Nataka kuanza kunywa pombe. Ila sijui ninywe bia gani? Hebu nishaurini wadau.