Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza na pombe ya mnazi ili uanze kuzoea mazingira
mh ....Mungu wangu HARUFU...! jamaa atanuka kikwapa mdogo haja kubwa na ndogo mpaka jasho! mnazi ni khabari nyingine ati
Nataka kuanza kunywa pombe. Ila sijui ninywe bia gani? Hebu nishaurini wadau.
we mlevii!Subiri walevi wenzio wakushauriiiii mi napitaaaa