Nioe au nikache kabisa

Nenda ukawe padri
 
Fanya jinsi moyo wako unavokutuma
 
Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
Kila jambo lina wakati wake.

Kwa maelezo uliyotoa ni hakika bado wakati wako sahihi wa kuo hujafika.

Ila hakikisha unapofikisha katika umri huu 30-35-40 usijefanya makosa.
 
Kila jambo lina wakati wake.

Kwa maelezo uliyotoa ni hakika bado wakati wako sahihi wa kuo hujafika.

Ila hakikisha unapofikisha katika umri huu 30-35-40 usijefanya makosa.
Shukrani mkuu
 
Akili zako hazikutoshi! Utawezaje kumiliki mke?
 
Unamaanisha nini hapa?
Dunia Mbwana haikunipa malezi ya mzee Wala msingi wowote kutoka Kwa mzee. Dunia ilinipa malezi ya mama tu yaliyolenga elimu kama mkombozi bila ya msingi mwingine bad enough hata hio elimu sikufika kiwango cha kuweza kuonwa na ajira za makampuni pamoja na serikali. Dunia ikaenda mbali zaidi hata mama aliekuwa akinisomesha Dunia inamzungusha mafao yake. Unajua sometimes ukifikiria kuwa binadamu wanaweza kuwa sehemu ya wewe kukwama unaona hamna haja ya kuoa watoto Wao na kuwatunza kama mwanaume
 
Pole sana kwa changamoto hizo. Kwa ushauri wangu usioe kwa sasa. Kwa sasa unashughulika na nini?
 
Pole sana kwa changamoto hizo. Kwa ushauri wangu usioe kwa sasa. Kwa sasa unashughulika na nini?
Sana sana kibarua katika sekta ya ujenzi ila siku hizi nafanya mara chache Kwa Sababu kuna biashara ndogo ndogo za tution, Sanaa na teknolojia naziset
 
Sana sana kibarua katika sekta ya ujenzi ila siku hizi nafanya mara chache Kwa Sababu kuna biashara ndogo ndogo za tution, Sanaa na teknolojia naziset
Miaka 27 bado haujachelewa hebu fanya kuset life na uwe na chanzo cha kueleweka cha kipato. Baada ya miaka 3-5 angalia ulipofikia. Kuoa ni majukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…