Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Na hili alitambue kabisaAcha kumdanganya kijana, mwambie tu ukweli kuwa kuna kunyimwa huko huko kwenye ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hili alitambue kabisaAcha kumdanganya kijana, mwambie tu ukweli kuwa kuna kunyimwa huko huko kwenye ndoa
Usioe,kwani upo tayari kufiriwa mke?Wakuu naombeni ushauri. Nipo njia panda mm kama kijana wa miaka 27 napata ukakasi juu ya mstakabari wa maisha yangu. Saa nyingine navutiwa na kutafuta mwanamke ila saa nyingine nikifikiri mambo Yao kutoka Kwa watu wanao nizinguka Nakata tamaa. Pia nikiangalia Dunia ilichonipa Wala hakina nguvu Kwa Sasa kuniwezesha mimi kuwa na familia. Sasa utata unakuja kama nisipo oa maana yake hata mtoto sitegemei kuwa nae Kwa Sababu sitaki kuwa na mtoto bila ya ndoa kutokana na niliyoyaona kwangu na ninayo yashuhudia kutoka Kwa watoto Wa aina hii. Kwa hiyo wakuu naombeni ushauri nitaishije kama mwanaume bila ya mke wala mtoto
Kama hauna hela kunyimwa kuko palepale, hata jogoo anaonga walau punje ya mahindi.Acha kumdanganya kijana, mwambie tu ukweli kuwa kuna kunyimwa huko huko kwenye ndoa