mbona wanawake wanaoishi wawili ndani yandoa wako wengi tu...amini usiamini mambo haya si ya kizamaniyapo na yapo sana sasa hivi ..
Kwa jinsi inavyo onekana jamaa akipata kazi yenye mshiko mzuri, mke atarejesha heshima kama zamani....Mimi naona ni bora kukazania kutafuta
kazi kwanza na kuimarisha maisha ya
Mwanao na yako pia ..
Kwa jinsi inavyo onekana jamaa akipata kazi yenye mshiko mzuri, mke atarejesha heshima kama zamani.
Pole sana mkuu. Kama umeongea na wazee wa ukoo na wameshindwa kutoa maamuzi ya kuboresha ndoa yako na mkeo, nakushauri waone tena wazazi wako na wazazi wa mkeo, pia washirikie viongozi wa dini yenu.
Waeleze kile kinacho kukera na nini maoni yako na wampe nafasi ya mkeo kujieleza, baada ya hapo nina uhakika muafaka utapatikana tu.
wakiwezeshwa wanajinyesPole sanawanawake wakiwezeshwa ,kweli wanaweza
Sina pesa kwa sasa kwakuwa wakati nafanya kazi nilikuwa nawekeza kwenye masomo yake, nimekwishamshauri anipe mtaji wa biashara lakini ananiambia mimi sikusoma hesabu za kibiashara nitazijuaje! Ubaguzi kwa mtoto wangu unakuwa dhairi sasa kiasi kwamba mtoto ameanza kuuliza kama huyu ni mamake mzazi au kuna mwingine ( mamake alishafariki) hii inanipa shida kwakuwa muda wote sikuzaa naye kwa kile alichokuwa anadai mimba hazishiki, japokuwa hivi karibuni katoa mimba akidai yuko busy hawezi kupata muda wa kulea mtoto kwa sasa! Ninaposema nafikiria kuoa manake ni kuachana kabisa na huyu na kuanza upya, kama nimempa elimu anayoringia na kuninyanyasa nayo kwa sasa, kwani mimi siwezi kupata mwanamke mwenye upendo wa kweli nami akaniinua kimaisha au ni dhambi mwanamke kumuinua mwanaume? Kiukweli ni visa vingi naweza kujaza kitabu
mie hata sijaelewa hapo, yaani wewe stdvii mke anaform iv, badala kusoma wewe umemsomesha yeye!!!ona sasa yanayokusibu, alishakukalia tangu mwanzo huyo, pole sana, na ukioa mwingi kama hautakuwa makini utaliwa tena.
Kwa jinsi inavyo onekana jamaa akipata kazi yenye mshiko mzuri, mke atarejesha heshima kama zamani.
Pole sana mkuu. Kama umeongea na wazee wa ukoo na wameshindwa kutoa maamuzi ya kuboresha ndoa yako na mkeo, nakushauri waone tena wazazi wako na wazazi wa mkeo, pia washirikie viongozi wa dini yenu.
Waeleze kile kinacho kukera na nini maoni yako na wampe nafasi ya mkeo kujieleza, baada ya hapo nina uhakika muafaka utapatikana tu.
hukukosea kumsomesha,ulifanya wajibu wako kama mume,kitu kinachokufanya kuwa mume na baba bora.endelea kuwatia moyo watoto wenu wote kuwa ktkk maisha kuna mapito mbalimbali ambayo Mungu anaturuhusu kupitia ili tujengeke kihekima na kiimani pia. hata kama unaamua kumuacha usifanye hivyo kwa kukimbilia mahuiano mengine. chukua muda kupumzisha nafsi yako na kujiimarisha kiuchumi.usikubali kumuachia akufanye ujiskie w ni duni,la hasha. uanaume wako haupimwi kwa fedha wala elimu,ni kwa jinsi unavyoweza kuhimili na kukabili vikwazo vya kimaisha.
Kinga'sti ukitulia una busara....
Ahsante sana kwa mchango wako na ushauri wako mzuri, lakini suala la kukimbilia uhusiano mwingine huoni kama ni muhimu kwa kipindi hiki kwakuwa niko desperate na wakati huo yeye ana good time, think of mimi ndio nafanya kila kitu nyumbani (house boy) yeye anarudi muda anaotaka. Kwa sasa mtotot wake yuko boarding mimi wa kwangu yupo tunaishi naye nisipohangaika hali ni kweli niendelee kuvumilia? ya chumbani naogopa kusema nisijemvunjia heshima hapa mbele za watu.