Kwema humu...
naombeni ushauri nichague yupi kati ya hawa wadada wawili,,,wa kwanza nilikutana nae mwaka 2010 kipindi hicho bado nilikua mdogo but tulianzisha mazoea na yeye mpaka sasa bado tunawasiliana vizuri tu japo tupo mikoa tofauti,,wa pili nimeonana nae mwaka huu mwanzoni kanivutia sanaa yeye nipo nae mkoa mmoja na mara kwa mara tunaonana,,
wa kwanza hajaajiriwa ila kajiajiri na masiha yanaenda vzr
wa pili kaajiriwa
Mmoja Mkinga,,Mwingine Msukuma
mkinga nipo nae mkoa mmoja,,msukuma yupo mkoa mwingine