uko sawa kabisa furaha au majutoMuombe Mungu kwanza maama swala lako litajumuisha either furaha au majuto kwa baadaye
nitalifanyia kazi wazo lakoOa mwanamke ambaye ni rafiki yako
hela ninazoTAFUTA HELA
Oa mwenye Tako kubwaKwema humu...
naombeni ushauri nichague yupi kati ya hawa wadada wawili,,,wa kwanza nilikutana nae mwaka 2010 kipindi hicho bado nilikua mdogo but tulianzisha mazoea na yeye mpaka sasa bado tunawasiliana vizuri tu japo tupo mikoa tofauti,,wa pili nimeonana nae mwaka huu mwanzoni kanivutia sanaa yeye nipo nae mkoa mmoja na mara kwa mara tunaonana,,
wa kwanza hajaajiriwa ila kajiajiri na masiha yanaenda vzr
wa pili kaajiriwa
ushauri wenu
nimekupataLong distance relationship haijawahi kufanya kazi bongo. Ukiendelea utazalisha wote na ushindwe wa kumuoa.
Huu uzi bila picha haunogi….Kwema humu...