Nioe yupi kati hawa wadada wawili

Wee mwenye tako kubwa ndio huyo huyo wakuweka ndani
 
Oa mwanamke ambaye yupo tayari kusacrifise/kuacha baadhi ya vitu kwa ajili yako. Sio unaoa mwanamke yupo mkoa mwingine kwa mfano halafu hayupo tayari kuhama mkoa huo kuja kujumuika na wewe, hali kadhalika yupo imani tofauti na wewe lakini hayupo tayari kuiacha afuate yako, mbaya Sana kwa mfano unamwambia tabia Fulani siipendi, anakwambia hi tabia umenikuta nayo , niache Hivi nilivyo, Sasa unaoa mwanamke aina hi wa kazi gani.. !!!!?
 
Usioe kwanza, subiri ukue kidogo, unatakiwa kuongezeka kimtazamo, kifikra na mawazo ndio uoe.

Maturity is one of biggest factors to happy marriage.
 
kama kuna mwenye tako oa utakuja kunishukuru chief
 
Wakutanishe wote af uwape mtihani wafanye. Atakaepata marks nyingi oa huyo.
Apart frm that chagua tako tu.
 
Yaani umeona Vigezo ni hivyo tu. Ndio maana Mnateseka kwenye Ndoa

Fuatilia haya
1. Ukoo wao upoje
2. Wazazi wake wapoje
3. Fuatilia mpaka kwanini Alipewa hilo jina analotumia hasa likiwa la Asili
4. Mwanamke akiwa mbali na Wewe jua Hawezi kuwa Peke yake
5. Fuatilia Kabila lao pia


Ukioa kwa Kuwaza Utandawazi tu. Ndoa yako pia Subiri iwe ya Kitandawazi
 
Angalia moyo wako mana uyo ni wa majuto na furaha kwenye maisha yako
 
Angalia ni yupi mna values zinazofanana. Mfano:
1. Dini, dhehebu. Hii itakupunguzia complications hata kwenye kulea watoto
2. Maendeleo. Kuna mwingine sio wa kujishughlisha, mwingine mchapa kazi, angalia yupi atafanya maisha yawe rahisi kidogo kiuchumi
3. Mambo mengine tu kama ushiriki wake kwenye mambo ya kijamii. Awe mtu wakujitolea na kupenda wengine, hii itawaongezea blessings na utajua watoto wenu watalelewa na mama wa aina gani.

Kingine omba Mungu kwa uaminifu atakuonyesha tu ambae values zenu zinafanana

Mwisho kabisa, yupi anakuvutia? Ila inabidi uwe makini, usichague kwa kuangalia muonekano tu.
 
We jamaa mario huna lolote, na utaishi kwa fedhea na kudharauliwa sana na huyo mke. Tunza maneno yangu
 
Anayejua kufinyia kwa ndani na uliyemkuta bikra.
 
Kunywa glasi ya maji utayemuona ndo huyo huyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…