Nioe yupi kati hawa wadada wawili

Kaka oa yule aliye rafik yako .na ambaye unamuelewa vzr na umemfahamu vya kutosha .maana kosea kujenga nyumba cyo kuoa mkuu.uo yule unayemjua vzr tabia zake na ambaye unafurahi Naye ukiwa naye .uskurupuke ukajuta kuzaliwa maana hao wavaa sket wapo vzr kwa kutengeneza bongo movie
 
Mshirikishe Mungu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…