Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Hivi kwanini sisi Wanaume Tunapenda Penda Hovyo Watu Tusio Wajua? Wewe Limtu Hulijui Hujawahi Liona Wala Kulisikia Sauti Afu Unajikuta Tu Unalipenda Khaaaa! Utapenda Majini Mzee Baba.
Upendo ni km imani. Kwahiyo usishangae unapoona watu wanajiua kwasbb ya mapenzi
 
Watu wa Tanga usiwaamini sana, utarushiwa jini sijui utakuwa mgeni wa nani[emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]
MKUU NZI KUFA KWENYE KIDONDA NI HIYALI SIO KUPENDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…