Tatizo la vijana siku hizi mnataka shortcut sana. Huku tunaita uoga uliokithiri. Kwann usimtafute bila kutoa thread? Hii thread ilifaa iandikwe hivi.Mkuu natetemeka
SijategemeaMimi nimeanza kukupenda wew vipi mambo yetu unatoa? 0715
Maneno mengi yanakera,siku hizi upo wapi unapitwaaHaya mambo ya thread thread sio ishu, nenda pm mwambie "bibie nna kisalio hapa nataka nikutumie upate lunch , sijui niitume vipi mama" Mzigua90 nae ana moyo lazma moyo utalegea atakupa namba ukifanya muamala itapendeza, hadi hapo mpira upo ndani ya box. Mnakompliketisha mambo
Sasa hii thread itaishia kukupa likes tu
Mmmmh tuachee sisi watu wazuriHivi kwanini sisi Wanaume Tunapenda Penda Hovyo Watu Tusio Wajua? Wewe Limtu Hulijui Hujawahi Liona Wala Kulisikia Sauti Afu Unajikuta Tu Unalipenda Khaaaa! Utapenda Majini Mzee Baba.
Hisia tuUshawahi kumuona popote au umependa avatar?
Duuh sawaHisia tu
Nini mkuu?Sijategemea
mbona nipo, nipe link basiManeno mengi yanakera,siku hizi upo wapi unapitwaa
Yaan leo unataka link mwenyewe nakuitia mane pmbona nipo, nipe link basi
Maneno mengi yanachosha, maneno ya kuvunjia mifupa ni xyz imethibitishwa
Hatimaye umepata shemeji [emoji2][emoji2]Ndondondo si churururu!
Usiwaamini sana Wahenga!
Tupo au kakimbia?Thank you boo. Ongea na mimi vizuri labda naweza kukuzimikia pia .
Unagopa chura?Mkuu mbona unazidi nitisha
Hahaha itabidi Jamaa ajiandae kiakili.Labda chura ya tumbo [emoji3][emoji3]