madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 701
Mmh! Ndo mana wengine hatutongozi ovyo. Kukataliwa kunauma hatari aisee usiskie. Weka hapo wewe ndo umependa halafu jamaa kachomoaNi uzembe. Mwanaume kukataliwa sio jambo baya ni ajali kazini tu.
Sasa je...na huyo only tutashare tu ukimkubaliaNa hapo pia tunashare mwenza??
Unajua kabisa mbogamboga sili mimi. Napenda nyamaAcha hizo.
Dawa za kukuza kibamia kiwe kibabuku zipo.
Mpe papa mwenzako
We mtu upooo?Acha hizo.
Dawa za kukuza kibamia kiwe kibabuku zipo.
Mpe papa mwenzako
Hahahahaaaaaa only u my love ndo utanipa tu kibendiSukari ee?
Kaone .. Kutwa nzima kuwinda wanaume wa jf. Utaishia kupewa kibendi. Yani huu mwaka hautaisha bila kupewa kibendi nyau wewe
Itabidi kuweka madau tu hakuna namna. Kumbe mzigua anazimikiwa na wengi hivi??Kama pesa zipo aje tu tuongee vizuri.
Bora mfungiwe tu mnazinguaPM mmezifunga mkuu
KumbeeeNamsaidia kijana wetu ampate huyu anaye mtaka
Hajiamini. Mi mwanaume anaeniogopa staki.Naona anakuogopa
Naona mnateteana vibamiaAcha hizo.
Dawa za kukuza kibamia kiwe kibabuku zipo.
Mpe papa mwenzako
Acha wivu weweSukari ee?
Kaone .. Kutwa nzima kuwinda wanaume wa jf. Utaishia kupewa kibendi. Yani huu mwaka hautaisha bila kupewa kibendi nyau wewe
Usisikilize story za vijiweni bana..We unanijua vizuriSijakudanganya ....yan nkikuona roho inauma ndo mana nmesema hayo maneno ili na ww ikuume...nmeskia we ni sukar ya warembo wa jf unao wengi san
Uyo ataogopa ata kukuomba nyapuHajiamini. Mi mwanaume anaeniogopa staki.
Nakujua sanaa ukianza kubebishana nao humaliziUsisikilize story za vijiweni bana..We unanijua vizuri
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Mwacheni kwanza ale yeye jamani kawahiWewe una wazimu kweli, kwani sie madushe yetu yamekufa? Uliambiwa mpende jirani yako kama unavyojipenda. Hivyo unaanzia kwako ndipo mwingine naye afaidi
Ndio maana kijana analia lia hapa anashindwa kumfata huenda milango imefungwaKumbeee
Aende wap huyo kizee anakesha jf kutafuta warembo wenye churaWe mtu upooo?
Yeye amekuja leo mie nilianza miaka 10 iliyopita[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Mwacheni kwanza ale yeye jamani kawahi
Tunajiamini pia hutatakiHajiamini. Mi mwanaume anaeniogopa staki.
Ningeumia ila ningehakikisha nampataMmh! Ndo mana wengine hatutongozi ovyo. Kukataliwa kunauma hatari aisee usiskie. Weka hapo wewe ndo umependa halafu jamaa kachomoa