Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Sijakudanganya ....yan nkikuona roho inauma ndo mana nmesema hayo maneno ili na ww ikuume...nmeskia we ni sukar ya warembo wa jf unao wengi san
Usisikilize story za vijiweni bana..We unanijua vizuri
 
Wewe una wazimu kweli, kwani sie madushe yetu yamekufa? Uliambiwa mpende jirani yako kama unavyojipenda. Hivyo unaanzia kwako ndipo mwingine naye afaidi
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]. Mwacheni kwanza ale yeye jamani kawahi
 
Back
Top Bottom