Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Tatizo usumbufuuNdio maana kijana analia lia hapa anashindwa kumfata huenda milango imefungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo usumbufuuNdio maana kijana analia lia hapa anashindwa kumfata huenda milango imefungwa
Asee ngoja nirudi niliko toka, hapa naweza kufa kwa preshaHahahahaaaaaa only u my love ndo utanipa tu kibendi
Hamna shida mke mwenzaSasa je...na huyo only tutashare tu ukimkubalia
Nilifikiri alivyo enda likizo hajarudiAende wap huyo kizee anakesha jf kutafuta warembo wenye chura
Mungu amewaumba kusumbuliwa kukubali kila mtu ndio shidaTatizo usumbufuu
Hamna shida.Yeye amekuja leo mie nilianza miaka 10 iliyopita
Teh teh..Bratan..Hili povu nini siri yake?Sukari ee?
Kaone .. Kutwa nzima kuwinda wanaume wa jf. Utaishia kupewa kibendi. Yani huu mwaka hautaisha bila kupewa kibendi nyau wewe
Ina jamani ,,,Heeeeee afadhali ata mweza uniachie ivuga au utawamiliki wote? Ulivo na uroho
Hahahaha baki hapa hapaaaAsee ngoja nirudi niliko toka, hapa naweza kufa kwa presha
Teh teh..We tunashinda wote hadi usiku wa manane,still bado tu unaona sijali?Nakujua sanaa ukianza kubebishana nao humalizi
Awatoe wap mtu bahili hvyooo...mpare huyo ata ukimwambia tuma nauli anasema njoo ntakupa hukuhuku kwa mtindo huo lazima akeshe kuwatafuta saizi yakeNilifikiri alivyo enda likizo hajarudi
Hao warembo wenye chura huwa hawapati mpaka kila siku akeshe kuwatafuta
Ndo shida inapoanziaMungu amewaumba kusumbuliwa kukubali kila mtu ndio shida
Nini tena babaIna jamani ,,,
KabisaaNdo shida inapoanzia
Hapana ,mapigo ya moyo yanaenda mbio mnoHahahaha baki hapa hapaaa
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Unagopa chura?
Atakua katumia foma gold mana sio kwa povu hiloTeh teh..Bratan..Hili povu nini siri yake?
Lkn pia msipo tongozwa mnajiona mnakasoro hiviNdo shida inapoanzia
Haujali kabisa umekuja siku moja tu kwangu sikunyingine sijui unashinda wapTeh teh..We tunashinda wote hadi usiku wa manane,still bado tu unaona sijali?