Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Umemaliza, nakukubali sana mrembo wewe ....
Mkuu nenda PM utumie mbinu hii hii kwake.
Ikifanikiwa itakuwa ya kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza, nakukubali sana mrembo wewe ....
Acha tu na utu uzima huu naanguka nakijwaa kisa chabo mweh!!!!Aibu yake sasa ukibambwa mana udogoni unatoka nduki tu bila kujali itakuaje ha ha haaa
Nawaona nawaona mtakavyobadili gia angani kila mtu atajifanya ana Salio la lunch ha ha haZa jioni, hii comment nadhani ameielewa. Itatusaidia wengi.
Mpendwa hivi umekuaje lakini 😀😀😀Teh teh..Bro kumvua chupi Evelyn Salt sio jambo dogo..Hasikudanganye na hizo comments zake..Utakula bloku
Teh teh..Nipo kama nilivyokuwa..Mpendwa hivi umekuaje lakini 😀😀😀
Nawaona nawaona mtakabadili gia angani kila mtu atajifanya ana Salio la lunch ha ha ha
Na akitaka utafurahiHao wa hivyo najua utukutu wao wala sio wepesi ndo nikasema ni mpaka atake
Dawa ya chenga ipo teh tik taka moja tu goliiiiNimecheka sana ile post yako naweza bolkiwa hasi ana ana
Mana hawa watu mpaka avie chupi ndo uje kakubali wana chenga za maudhi khataari sana kama hataki
Nenda kwenye PM yake ukajionee mwenyeweUshuhuda tafadhali
Umeona eh?Acha tu na utu uzima huu naanguka nakijwaa kisa chabo mweh!!!!
Ameen Mama ngamaa ushindwe wewe tu.Huu mwaka lazima niumalize kwenye ndoa. 2018 ni mwaka wangu.
Nafasi ya hiyo tik taka pia hua ngumu labda iwe zari uwe na shida ya mzigo hafu mzigo upo chumba 105 teh tehDawa ya chenga ipo teh tik taka moja tu goliiii
Yani nimeuza ramaniHahaha, aduI katoa mbinu ya jinsi ya kumshinda.
Huyo chura kamuacha wazi au mpaka uombe kuonaNenda kwenye PM yake ukajionee mwenyewe
Don unajua wewe ni super man ha ha ha ha ngoja nikujazie watuMkuu nenda PM utumie mbinu hii hii kwake.
Ikifanikiwa itakuwa ya kweli
AaaminHuu mwaka lazima niumalize kwenye ndoa. 2018 ni mwaka wangu.
Kula like mkuu.Haya mambo ya thread thread sio ishu, nenda pm mwambie "bibie nna kisalio hapa nataka nikutumie upate lunch , sijui niitume vipi mama" Mzigua90 nae ana moyo lazma moyo utalegea atakupa namba ukifanya muamala itapendeza, hadi hapo mpira upo ndani ya box. Mnakompliketisha mambo
Sasa hii thread itaishia kukupa likes tu
Ndo unafanya mbinu za kuburuza mzigo hadi room namba 105 unajilia kiulaiiini kama unakula mainiNafasi ya hiyo tik taka pia hua ngumu labda iwe zari uwe na shida ya mzigo hafu mzigo upo chumba 105 teh teh