Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Niokoeni jamani nimeanza kumpenda Mzigua90

Haya mambo ya thread thread sio ishu, nenda pm mwambie "bibie nna kisalio hapa nataka nikutumie upate lunch , sijui niitume vipi mama" Mzigua90 nae ana moyo lazma moyo utalegea atakupa namba ukifanya muamala itapendeza, hadi hapo mpira upo ndani ya box. Mnakompliketisha mambo
Sasa hii thread itaishia kukupa likes tu
Kula like mkuu.
 
Nafasi ya hiyo tik taka pia hua ngumu labda iwe zari uwe na shida ya mzigo hafu mzigo upo chumba 105 teh teh
Ndo unafanya mbinu za kuburuza mzigo hadi room namba 105 unajilia kiulaiiini kama unakula maini
 
Back
Top Bottom