Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipo bukoba kwa sasa
Kacheka kwa sababu si kila kitu kuombewa kwani mleta mada kanisa hakuliona? Mimi nilitegemea wewe ungetoa ushauri mzuri wa tiba ya mtoto na si vinginevyo,l
Acheni kudanganya watu.
Nyie ndio husababisha watu kuathirika zaidi kwa kiwapeleka Makanisani Badala ya Hospitali.
Km Makanisa yanatibu kwanini Kadinali Pengo alilazwa Hospitali?
Hivi lini Mtaacha Kuwaongopea watu na kuuacha huo Usanii wenu?
Gwajima anadanganya watu kuwa yeye anatembea Na Yesu wakati amekamatwa anatembea na Bastola na Akatamka mwenyewe kuwa mara zote anatembea na Silaha Kwa ajili ya Kujilinda.
Uongo pia Ni fani lkn Nyie fani hio Bado sana.
Asiyejua maana haambiwi maana,UKRISTO NI TIBA PIA
Kwani ni ushauri gani kaomba?kama ni hospitali pia aliziona na dawa kashajaribu,Njoo Lugalo hospital
sHEIKH INASWII KUTIA FITNA MWEZI WA RAMADHANI?Kuna jamaa huko anajiita Mzito Kabwela usije danganywa tu kuwa na yeye ni Dr.
Utalizwa Mkuu.
sHEIKH INASWII KUTIA FITNA MWEZI WA RAMADHANI?
Teh teh teh.
Nilikuwa nacheki km bado uko hai.