Niombeeni nimechaguliwa kwenda Congo kuwaondoa m23 kundi letu linaondoka Jumanne

Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Kuna haja ya kuja kuaga huku JF.
Una mihemko mkuu
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
M23 wako 25km ili kuichukua Goma, maisha yako hayawezi kupimwa kwa fedha. Ulitaka uombewe ili nini? Ukaue watu? Au ukauwawe?

I think you already know the answer make your own decisions
 
Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Kila likilo jema kwa Jeshi letu.....najya ni shughuli kubwa this time wamekuja kivingine hadi mamluki wamo ndani m23....snipers raia france etc silaha kisasa sanaa....inabidi UN wawape silaha kisasa.....zaidi zenye nguvu nilipita kunduchi nikaona wako busy sana.....PK mkorofi sanaaa .....anauza dhahabu ulaya hana mgodi nchini kwake daaaa.....shamba la bibi
 
We choice unawatanguliza wenzako kwenye BATTLEFIELD huku wewe umejificha uvunguni unachati tu.

Nenda Congo wakakung'oe meno ya mbele uone cha moto.

Muende na Lucas Mwashambwa mkapigane vita za kiume kweli na sio kutuimbia mangonjera humu mitandaoni 24hrs.
Hao si tunawalioa salary Kwa kazi hiyo na nafasi za Jeshi zikitoka.watu si wanagombaniaga?

Hiyo ndio kazi waliyochagua.
 
Back
Top Bottom