Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kapambane na Kila la heri ndio kazi uliyoichagua.Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu
Tulifundishwaga kwamba mtu anayekwenda vitani huwa anaaga kwa kusema buriani..!!Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu
Kuna haja ya kuja kuaga huku JF.Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
We choice unawatanguliza wenzako kwenye BATTLEFIELD huku wewe umejificha uvunguni unachati tu.Kapambane na Kila la heri ndio kazi uliyoichagua.
God bless youWakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
M23 wako 25km ili kuichukua Goma, maisha yako hayawezi kupimwa kwa fedha. Ulitaka uombewe ili nini? Ukaue watu? Au ukauwawe?Wakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
SawaKila lakheri
SawaChai
Kila likilo jema kwa Jeshi letu.....najya ni shughuli kubwa this time wamekuja kivingine hadi mamluki wamo ndani m23....snipers raia france etc silaha kisasa sanaa....inabidi UN wawape silaha kisasa.....zaidi zenye nguvu nilipita kunduchi nikaona wako busy sana.....PK mkorofi sanaaa .....anauza dhahabu ulaya hana mgodi nchini kwake daaaa.....shamba la bibiWakuu niombeeni nimechaguliwz kwenda congo kuwaondoa m23 na kundi letu tunaondoka jumanne nawaaga kama wanajamii forum wenzangu japo sura hatujawahi kuonana ila tutakiane heri sisi ni kama ndugu humu hivyo maombi yenu muhimu nimalize hii kazi salama
Hao si tunawalioa salary Kwa kazi hiyo na nafasi za Jeshi zikitoka.watu si wanagombaniaga?We choice unawatanguliza wenzako kwenye BATTLEFIELD huku wewe umejificha uvunguni unachati tu.
Nenda Congo wakakung'oe meno ya mbele uone cha moto.
Muende na Lucas Mwashambwa mkapigane vita za kiume kweli na sio kutuimbia mangonjera humu mitandaoni 24hrs.