nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Huyo ndugu yako atakuwa Goma, majaliwa yake yanategemea huruma za PKNina ndugu yangu huko kila nikimpigia video call analia tu na kuniaga.Alienda kulinda amani.Ananiachia watoto wake et.Hebu wakae na M23 wasituulie ndugu zetu please. Namwombea kwa Mungu arudi salama maana muda wake umeisha