Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
🤣🤣🤣🤣🤣 Huyu jamaa huwa hana woga kabisa.Anajua kabisa 2025 jina lake halitarudi. Na wakimfukuza chama,atawachamba mpaka basi.
Nlikuwa sipatani naye but sasa namweshimu. Dunia hii ni ngumu kupata watu wakweli.Askofu gwajima sio mnafiki ila watu wanachukia jina askofu
Hauko serious wewe[emoji23][emoji23][emoji23]2025 tumpe nchi aendeleze vita na mabeberu[emoji205]
Yeah! Kumbe huyu ndo alikuwa pure mfuasi wa Magu,wengine maqyumer tuHiki ndio kipande cha jiwe kilichobaki sio wale kule kwa jalala
Akiendelea kuupiga mwingi hivinna sapoti yake ikaongezeka 2025 nani wa kushindana na Gwajima...ikumbukwe huyu ndiye aliyemleta Lowasa CHADEMA ana experience na mambo ya kugombea uongozi wa nchi🤣Hauko serious wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaani mpuuzi anaekula waumini wake alafu anajirekodi ndo aitishe maandamano watu waitikie???Gwajima ajali,aogopi na wala hana muda,huyu waki-mswitch zaidi ataitisha maandamano kabisa ya kupinga chanjo.
Mpeni chato na aanze kumfufua Jiwe maana anadai anafufua wafu2025 tumpe nchi aendeleze vita na mabeberu🐒
Kama humuamini Gwajima kachanjwe bro, usitukane watu. Mbona simpo.Hamchoki tu na huyo mpuuzi wenu?
Hivi biashara yake ya kufufua misukule imeishia wapi?
Kama vipi mpelekeni chato akamfufue muhuni mwenzake Kama mnamuamini sana
Kuna watu watakufa kwa aibu bora Gaidi linajisaidia kwenye ndoo Tanzania imepumua magaidi yameishaBasi mwambieni mjinga mwenzenu gwajima amfufue mungu wenu jiwe ili tuwajue nyie ni kina nani?