Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwani hiyo ni fomu ya kwanza kujazwa kwenye matibabu??Kama humuamini Gwajima kachanjwe bro, usitukane watu. Mbona simpo.
Chanjo ya Polio, Pepopunda, Surua nk hazina kujaza form Kwa ajili ya kuingizwa kwenye data base, ila hii inayo. Mwenye akili timamu walah Kuna jambo hapa
Tuonekama ataongea jumapil[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyu jamaa huwa hana woga kabisa.
Una upeo mdogo wa kufikiri.Kwani hiyo ni fomu ya kwanza kujazwa kwenye matibabu??
Ushawai fanyiwa surgery? Ndugu zako hawakujaza fomu??? Au unatibiwa kwa waganga huko chato alafu unaleta ushamba wako hapa??
Labda useme tunapaswa kuwa na wajinga wa namna hii. Sio watu wa namna hii...alafu mwambie Kama unawasiliana nae aingie Google aandike sexhubb ikifunguka aandike jina lake aanze na askofu Kisha aangalie mchezo anaoufanya.Hamchoki tu na huyo mpuuzi wenu?
Hivi biashara yake ya kufufua misukule imeishia wapi?
Kama vipi mpelekeni chato akamfufue muhuni mwenzake Kama mnamuamini sana
Hakuna chanjo inayochezea DNA ya watu. Ipi? Wanaodai hayo hawakuelewa habari za DNA.Gwajima ana haki sawa na watu wengine kutoa mtazamo wake kwa suala hili ambalo linajadilika.
Personally naungana naye kutilia mashaka chanjo ambazo zinakwenda kuchezea DNA za watu. Hakuna ajuaye huko mbeleni zitakuwa na madhara gani, ndiyo maana inabidi usainishwe mkataba wa 'yatakayokutokea huko mbele utajijua mwenyewe '!
Acha ubishi we dalali la machanjo..Hakuna chanjo inayochezea DNA ya watu. Ipi? Wanaodai hayo hawakuelewa habari za DNA.
Inaelekea hata hujui hizi chanjo zinavyofanya kazi. Pole sana 😥😥Hakuna chanjo inayochezea DNA ya watu. Ipi? Wanaodai hayo hawakuelewa habari za DNA.
Ndugu ukijua siri hii, basi eleza hapa. Ninakuahidi utapata Tuzo ya Nobel! (isipokuwa ukishindwa kuionyesha, hutapata. Pole.)Inaelekea hata hujui hizi chanjo zinavyofanya kazi. Pole sana 😥😥
Kaka hakuna chanjo inayobadilisha mfumo wa DNA. Ukijua kunyume, onyesha!Acha ubishi we dalali la machanjo..
Halafu nchi irudi tena kwa Sukuma Gang!2025 tumpe nchi aendeleze vita na mabeberu🐒
Then siku hii ikifikaHana shida na Ubunge amechoka nao au haoni kama ni big deal hivyo anaongea anachokiamini bila woga/shaka.
Si mnafiki anazungumza anachokiamini. Mtu wa namna hii ni mzuri akipata wasaa wa kuamini jambo lenye faida kwa Taifa. Hayumbishwi. Tunapaswa kuwa na watu wa namna hii
Huyu ni mtu wa system au ana back up kubwa sana. Alianza jiamini toka serikali ya marehemu ni yeye pekee aliyeweza pambana na makonda waziwazi kipindi makonda akiwa ni kipenzi cha marehemu.
Si mjinga anajua anachokifanya na kusema. Mpaka sasa hoja zake hazijajibiwa ameishia kutukanwa tu.
Mwisho natoa wito watu mkachanjwe chale. Corona ipo.
Nimeshangaa mara kadhaa lugha hiyo inatokea wapi "Chanjo inayobadilisha mfumo wa DNA" (Gwajima na Shekhe farid Mussa wanasambaza habari hiyo).Inaelekea hata hujui hizi chanjo zinavyofanya kazi. Pole sana 😥😥
Asante kwa kudokeza ujinga menyewe si wa dini. Hii ni sababu niliandika "ujinga uleule kwa ladha ya Kiislamu na ladha ya Kikristo", naana ukichukua aisikrimu ni krimu ileile ila unaweza kupata ladha tofauti, mara vanilla mara chokoleti mara matunda - tofauti ni ladha na rangi tu inayokorogwa katika kitu kilekile. (na ladha pekee, si vanilla wala chokoleti halisi). Hivyo na ladha katika ujinga wa habari za Korona. Huko Ulaya iko pia ladha ya kiatheisti, pamoja na kidini au kifalsafa.Umenena vyema. Ulipokosea hapo mwisho kuhusisha dini kwa kuwa tu waliosema hayo ni Sheikh na Askofu. Hiyo ni mitizamo yao na si kwamba ndio msimamo wa dini. Kwa mfano ktk Uislam tunaamrishwa na Muumba kuwa tunapashwa kusema jambo lenye hakika na kama hatujui lazima tuwaulize wajuzi, sasa kama jambo hili ni la kitabibu lazima litolewe maelezo na hao hao matabibu na sio Masheikh ama viongozi wa dini. Unless huyo kiongozi wa dini awe na elimu ya kidaktari na hasa speciality ya magonjwa yahusihayo virus / pandemic disease.
Sasa inakuwaje unamuhamasisha mtu achukue risk inayoweza kuhatarisha Maisha yake na afya yake?Kwani hiyo ni fomu ya kwanza kujazwa kwenye matibabu??
Ushawai fanyiwa surgery? Ndugu zako hawakujaza fomu??? Au unatibiwa kwa waganga huko chato alafu unaleta ushamba wako hapa??
Hana shida na Ubunge amechoka nao au haoni kama ni big deal hivyo anaongea anachokiamini bila woga/shaka.
Si mnafiki anazungumza anachokiamini. Mtu wa namna hii ni mzuri akipata wasaa wa kuamini jambo lenye faida kwa Taifa. Hayumbishwi. Tunapaswa kuwa na watu wa namna hii
Huyu ni mtu wa system au ana back up kubwa sana. Alianza jiamini toka serikali ya marehemu ni yeye pekee aliyeweza pambana na makonda waziwazi kipindi makonda akiwa ni kipenzi cha marehemu.
Si mjinga anajua anachokifanya na kusema. Mpaka sasa hoja zake hazijajibiwa ameishia kutukanwa tu.
Mwisho natoa wito watu mkachanjwe chale. Corona ipo.
"But with any health advancement comes potential risk. Gennaro says that with a DNA vaccine, there is always a risk it can cause a permanent change to the cell’s natural DNA sequence."Nimeshangaa mara kadhaa lugha hiyo inatokea wapi "Chanjo inayobadilisha mfumo wa DNA" (Gwajima na Shekhe farid Mussa wanasambaza habari hiyo).
NAdhani pamoja na kiwango cha duni cha elimu sababu yake ni hii: madawa ya chanjo za COVID zinapatikana kwa njia tofauti.
1) chanjo za kawaida; hapa wanatumia virusi zilizodhoofishwa, au kuuawa; ikiingizwa katika mwili, mfumo wa kinga mwilini unaitambua na kutengeza askari dhidi yake zinazoweza kushambulia virusi hai na kuziua. Namna hiyo ya chanjo ni namna iliyokuwa kawaida hadi juzi, ni namna ya chanjo zote za magonjwa mbalimbali tulizopokea kama watoto, dhidi COVID mifano yake ni Sinopharm na Sinovac kutoka China na Bharat Biotech kutoka Uhindi.
2) chanjo zilizopatikana kwa njia ya kuchezea DNA / RNA ya virusi yenyewe ambayo ni tekinolojia mpya sana (mifano Biontech, Johnson, Astra). Hapa vipande vya DNA au RNA vya virusi vinabadilishwa katika maabara na kuingizwa katika mwili, ambavyo haviwezi kusababisha ugonjwa lakini vinasababisha jibu la mfumo wa kinga mwilini unaotengeneza askari husika.
Naona lugha ya "genetically modified vaccine" imesababisha imani kwamba chanjo hizo zinabadilisha muundo wa DNA mwilini. Ambayo si vile, inayochezewa ni mfumo wa DNA / RNA ya virusi kabla ya kuingiza chanjo mwilini.
Bila shaka anayependa kuamini na kuwafuata akina Gwajima na Farid Mussa hataniamini. Anayependa kujielimisha anaweza kusoma kwa mfano hapo https://en.wikipedia.org/wiki/COVID-19_vaccine, na usipopenda kutegemea Wikipedia ni sawa, unapata vyanzo vingi sana kwenye tanbihi ya makala uanpoweza kujenga hoja mwenyewe.
(Sijui kama ni faida kwamba siku hizi kuna chaguo baina ya ujinga uleule kwa ladha ya Kiislamu na ladha ya Kikristo. )
sidhani kama mna uwezo wa kutofautisha consent form for s research o na consent form ya matibu.kinaKwani hiyo ni fomu ya kwanza kujazwa kwenye matibabu??
Ushawai fanyiwa surgery? Ndugu zako hawakujaza fomu??? Au unatibiwa kwa waganga huko chato alafu unaleta ushamba wako hapa??