Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,946
- 4,592
Tatzo hamueleweki, watu wakipelekwa mahakaman kama wakina rugemalila, kitilya na wengine mnaanza tena kulalamika wanaonewaSikia nikweli uyasemayo ila angalia kwa mapana hathari ya kiuchumi kwa wale sio mafisadi pili lipo kundiktk utawala wake wanakula nchi nani asie juwa? Sasa kama mafisad wapo wapelekwe mahakama ya mafisadi ambayo kwa miaka mitano Sina uhakika imefanya kazi.
Yes, wanaonewa kwasababu wanakaa jela zaidi ya miaka mitatu bila kesi kutolewa hukumu, kila siku ushahidi haujakamilika, hii kitu haipo hapa duniani only in Tz, halafu hata hamuoni aibu wala kumuogopa Mungu.Tatzo hamueleweki, watu wakipelekwa mahakaman kama wakina rugemalila, kitilya na wengine mnaanza tena kulalamika wanaonewa
Inachukuliwa kwa nguvu na nani sasa?Operation UKUTA watu hukuona walijificha ndani kimyaa,Mange maandamano yake tukaishia kua Keyboard warriors tu lkn hakuna aliyejitokeza road wala nini.Usichokijua ni kwamba haki huwa haitolewi bure bali unapaswa kuichukua kwa nguvu!
Sio Tanzania, unazungumzia nchi nyingine.No! Mamlaka ya kumweka Rais madarakani yapo kwa raia na wala siyo mtu mwingine yeyote yule
Usitegemee hata siku moja kupewa haki yako bure.Haki huchukuliwa kwa nguvu
Hapo kwenye kukaa rumande kwa muda mrefu ndio pakupigia kelele Sasa sio kusema wameonewa sio wezi. Wote tunatakiwa tupaze sauti zetu wote ili kuepusha mtu ambaye wakati mwingine yaweza kuwa Hana atia lkn aksoteshwa rumande kwa miaka hata mitano.Yes, wanaonewa kwasababu wanakaa jela zaidi ya miaka mitatu bila kesi kutolewa hukumu, kila siku ushahidi haujakamilika, hii kitu hapa duniani only in Tz, halafu hata hamuoni aibu wala kumuogopa Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakua kama Ethiopia vile.Uko sahihi kabisa mkuu, hii ni awamu ya ujenzi wa miundombinu mikubwa iwe kwa fedha za ndani au mikopo mikubwa hivyo sera zake zimejikita kwenye matumizi makubwa na walionufaika zaidi ni makampuni makubwa ya ujenzi ya nje ya nchi, hivyo raia watakamuliwa mno ili hii miradi ikamilike na mwishowe nchi itaachwa na madeni makubwa mno mwishoni wa huu utawala wa awamu ya 4.
Kama wanyonge walishindwa kuwa na maisha mazuri enzi mkwere za kujichotea pesa, tuambie wanawezaje kuwa na maisha mazuri enzi hizi za msukuma ambapo mtu hawezi kuchota pesa?Watu tuliishi kwenye maisha yasiyokuwa na uhalisia. Mkwere aliwalambisha asali sahv haipo mnalialia tu. Hebu fikiria watu walivyokuwa wanajichotea pesa za serekali na kufanya maisha yaonekane mepesi kwa watu sahivi mirija ya kijinga imebanwa mnalialia mtandaoni. Ht viwanja ilifikia hatua kwasababu watu wanajiokotea pesa kiholela wananunua hata viwanja mia moja kwa bei kubwa Sasa hapo mnyonge angewezaje hayo maisha. Sasa hv ht heka moja unaipata kwa milioni tatu ndani ya manispaa
Kwenye swala la Korosho ni ujinga mkubwa kumlaunu Magufuli na serikali yake.Mleta mada umeweka mada ya msingi sana
Approach za Magufuli ni kuweka MAVITU na si kunyanyua hali za WATU
Ndiyo maana yuko tayari kuumiza watu ili mavituvitu yake yaonekane
mfano kubomoa nyumba za watu wakati kuna stop order ya mahakama ili ajenge barabara njia nane
Kuacha Korona isambae ilimradi tu akusanye kodi akajenge mamiradi yake
Kuingilia biashara ya Korosho ili serikali yake ipate mihela mingi kupitia mgongo wa wakulima ili akajenge mavituvitu yake
Kama hujishughulishi lazima uwe maskini!Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.
Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.
Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.
Sera ya awamo ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.
Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.
Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.
Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikin kama sera hizi hazito angaliwa upya
Duh wewe uko nchi hii?Kwenye swala la Korosho ni ujinga mkubwa kumlaunu Magufuli na serikali yake.
Kwa sababu wanunuzi wa Korosho walitaka kununua korosho kwa TSH. 2550 kwa kilo wakulima wakakataa kuuza wakisema bei ni ndogo wakaiomba serikali iwasaidie.
Mh Raisi akasema korosho zote zitanunuliwa na serikali kwa bei ya TSH. 3300 kwa kilo wakulima wakakubali.
Sasa hapo Magufuli munamlaumu kwa lipi? Acheni Propaganda
From. Mahuta Chikongola. Tandahimba
Magufuli tangu siku alipotangaza kuwa atahakikisha amefuta upinzani nchini as if upinzani ni tatizo katika jamii niliona wazi kuwa tayari ameshafeli kabla hata kuanza hajaanza.Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.
Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.
Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.
Sera ya awamo ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.
Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.
Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.
Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikin kama sera hizi hazito angaliwa upya
Kwenye hii propaganda ya korosho wadanganye vilaza wengine sio mimi.Duh wewe uko nchi hii?
Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.