MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,288
- 1,262
Mkuu unajua maana ya bidhaa feki?China hawatengenezi bidhaa feki bali wnatengeneza bidhaa kulinganan na bei ya mhitaji
Bandia!Mkuu unajua maana ya bidhaa feki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawakurupuki Mkuu ni ukweli MTUPU. Nguo, viatu, handbags za akina mama za makampuni ya Kimarekani jamaa wanaiga na kuziuza katika nchi mbali mbali duniani ikiwemo USA lakini quality ya hivyo vitu ni ndogo ukilinganisha na original hivyo ni lazima waanikwe hadharani japo kuna soko kwani huwa ni bei chini mno ukilinganisha na original.