mchawi wa kusini
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 830
- 898
Habari Wana JF
Kesho club bingwa Africa Simba SC Mnyama Mkali anacheza na Horoya Simba SC anafunzu MAKUNDI kesho Horoya anapigwa VIZURI tu.
Yanga SC Jumapili Dimbani na Monistry Jumapili Yanga anapoteza Ataopoonda Congo anapoteza na TP MAZEMBE na Hataingia MAKUNDI Kwenye kombe la shirikisho. MAANA YANGU Monistry anamfunga Yanga Nje na Ndani.
Huwa siwezi Kupepesa Macho Kwa hili Unayenuna nuna Ukweli umeupata Ingawa ni Mchungu Vumilia Tu Dawa Iingie.
Nawatakia Ijumaa Karym.
Hivyo basi Tunza Uzi Huu Mtakuja kuniambia Hapahapa JF.