Nionavyo Simba sc vs Yanga sc kufuzu makundi

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
830
Reaction score
898
Habari Wana JF

Kesho club bingwa Africa Simba SC Mnyama Mkali anacheza na Horoya Simba SC anafunzu MAKUNDI kesho Horoya anapigwa VIZURI tu.

Yanga SC Jumapili Dimbani na Monistry Jumapili Yanga anapoteza Ataopoonda Congo anapoteza na TP MAZEMBE na Hataingia MAKUNDI Kwenye kombe la shirikisho. MAANA YANGU Monistry anamfunga Yanga Nje na Ndani.

Huwa siwezi Kupepesa Macho Kwa hili Unayenuna nuna Ukweli umeupata Ingawa ni Mchungu Vumilia Tu Dawa Iingie.

Nawatakia Ijumaa Karym.

Hivyo basi Tunza Uzi Huu Mtakuja kuniambia Hapahapa JF.
 
Mhhhhhh.

Hongera kwa kuwa shekh yahaya..

Wazee wa kupiga ramli.

Uzi wako unasaidia, unafundisha nini??????
 
Habari Wana JF

Kesho club bingwa Africa Simba SC Mnyama Mkali anacheza na Horoya Simba SC anafunzu MAKUNDI kesho Horoya anapigwa VIZURI tu.

Yanga SC Jumapili Dimbani na Monistry Jumapili Yanga anapoteza Ataopoonda Congo anapoteza na TP MAZEMBE na Hataingia MAKUNDI Kwenye kombe la shirikisho. MAANA YANGU Monistry anamfunga Yanga Nje na Ndani.

Huwa siwezi Kupepesa Macho Kwa hili Unayenuna nuna Ukweli umeupata Ingawa ni Mchungu Vumilia Tu Dawa Iingie.

Nawatakia Ijumaa Karym.

Hivyo basi Tunza Uzi Huu Mtakuja kuniambia Hapahapa JF.
Unafeli wapi mnyama mwenzangu? Wote hao wako kwenye makundi tayari wanatafuta kwenda robo fainali. Hata hivyo wote wanapita.
 
Ushapwiyanga uzi auna mana tena mana yanga na simba zote zishafuzu hatua ya makundi
Au unazungumzia michuano ya msimu ujao?
 
Habari Wana JF

Kesho club bingwa Africa Simba SC Mnyama Mkali anacheza na Horoya Simba SC anafunzu MAKUNDI kesho Horoya anapigwa VIZURI tu.

Yanga SC Jumapili Dimbani na Monistry Jumapili Yanga anapoteza Ataopoonda Congo anapoteza na TP MAZEMBE na Hataingia MAKUNDI Kwenye kombe la shirikisho. MAANA YANGU Monistry anamfunga Yanga Nje na Ndani.

Huwa siwezi Kupepesa Macho Kwa hili Unayenuna nuna Ukweli umeupata Ingawa ni Mchungu Vumilia Tu Dawa Iingie.

Nawatakia Ijumaa Karym.

Hivyo basi Tunza Uzi Huu Mtakuja kuniambia Hapahapa JF.
Umeandika vzr, maana hii ni kutokana na matashi yako.

Hebu tufafanulie vzr , baada ya MWANANCHI kupigwa nje ndani na MONASTIRIE , mechi ya Tp Mazembe na Real BAMAKO !! matokeo yatakuwaje? Hebu tubashirie pia.

Simba na HOROYA kipi , kinachokupa matumaini?
1- soka
2- Historia
3- kucheza nyumbani
 
Back
Top Bottom