Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
PossiblyKuna miezi nimekatwa lakini haionekani, na deni halipungui, hivyo taarifa zangu pia hawajaziwek sawa,
Inatokea
Kwetu tulipata simu ya wao kutaka schedule ya mwaka 2020.
Kule walikuwa wanaona pesa, lkn hawaoni ni kina nani wamekatwa.