PossiblyKuna miezi nimekatwa lakini haionekani, na deni halipungui, hivyo taarifa zangu pia hawajaziwek sawa,
Uliende ofisi ya DPP?Kwa kipindi chote nilichofanya kazi na ofisi za serikali au kupata huduma ofisi za umma, nimejiridhisha pasipo na shaka kwamba hakuna Ofisi hata moja inayokidhi vigezo vya kimataifa katika utoaji wa huduma.
Ofisi zote Bongo ni ujanja ujanja tu. Watu wameacha elimu darasani na kwenye madaftari huko kazini kila mtu anajiendea anavyojaaliwa.
Hali ni mbaya zaidi hasa kwenye ofisi za Halmashauri. Wamejaa wavivu, ni kama wananchi wanahudumiwa na watu wasio na shule kabisa. Longo longo kibao ili akuhudumie lazima untengenezee mazingira ya kumpa hela au kujuana.
Zipo ofisi kadhaa kama TRO na NHIF huwa naona zikuwa certified na ISO. Lakini uhalisia ni tofauti kabisa, nadhani waliwapa cerification bila kujua huku field kukoje waliangalia makaratasi tu. Wote ni wale wale tu waliokunywa uji wa mgonjwa. Ndiyo maana hapa Bongo mtu akiwa na kauwezo kidogo anaonekana kichwa kishenzi.
Ninakupa hii sio mambo ya kusimuliwa. Kama unabisha nitajie ofisi moja ili rubishane. Kwa hiyo, hatua zaidi tunatakiwa kuchukua kama nchi. Bahati mbaya zaidi hata viongozi wa juu nao ni walewale tu.
Kuna demu nimepishana nae bank namba yake ya nida jina sahihi ila picha ya Mwamba mmoja 😂😂😂Mbona hamtaji NIDA, kidada kinakosea kuandika jina alafu kinasema haifai kurekebisha, aiseeee
Pia kuna kitu kinaitwa TANESCO NA TRA
PoleHivyo wanashughulikia tangu mwezi wa 6 mwaka jana.
NIMEFATILIA Ofisini kwao mwanza, pale hawana ushirikiano, nikaenda dar,
Nilipewa ahadi tu,
Leo hii nikiangalia kwenye mfumo hamna progress yoyote,
Simu hawapokei, message hawajibu licha ya kufika ofisini kwao wote na wananikumbuk vzr
Watu wenye sifa hawapewi kazi, wanaweka watu hata ku type hawaweziKuna demu nimepishana nar benk namba yake ya nida jina sahihi ila picha ya Mwamba mmoja 😂😂😂
Alafu wanajiona wapo correct hawataki hata useme nenoWatu wenye sifa hawapewi kazi, wanaweka watu hata ku type hawawezi
Mimi Nimefatilia tangu mwezi wa 6 mwaka jana wanipe loan statement niwalipe, maan nishalipa lakini deni halipungui wala haliishi, imeshindikana.Tena hao ni wajinga kabisa. Watu wanamaliza mikopo wanaendelea kukatwa. Wengine wanakatwa hawakuchukua mkopo.
Mimi walinikata zaidi,wakaniambia nidai watarejesha huu mwaka wa tatu.
Au mpaka rushwa labda!?Pole
Sasa hao duh
Mbona ni muda mrefu sana wamekupaki!!?
Mwaka jana nilienda kwenye kampuni fulani niliagiziwa ina bidhaa bora, kufika pale nikasaini getini nikaagiziwa ofisiTuwe serious hakuna huduma nzuri kwa taasisi na kampuni zote za serikali angalau kdg secta binafsi ila kuanzia utosini mpk mjumbe wa nyuma 10 ni walewale
Hapo ndipo ngozi nyeupe walipo tupiga baoMwaka jana nilienda kwenye kampuni fulani niliagiziwa ina bidhaa bora, kufika pale nikasaini getini nikaagiziwa ofisi
Kufika nakutwa mwamba ana type tu haniangalii, nikampa karatasi ya vipimo akapiga hesabu akanipa bei hapo anaangalia pc yake tu.
Akaniagizia chumba cha pili kwenda hakuna mtu, nimekaa kama dk 10 kumbe mhusika yupo kwenye ist anakula kiyoyozi,
Aisee nilitoka kwa hasira nikaenda kwa wachina nikapokelewa kama mfalme
Kuja kuchunguza kumbe ile kampuni ina hisa na serikali
Daah pole sanaNdio hivyo Makuu,
Nilichoambiw ni kwamb Kwenye mfumo wao,
Kuna miezi nimekatwa lakini haionekani, na deni halipungui, hivyo taarifa zangu pia hawajaziwek sawa,
Hivyo wanashughulikia tangu mwezi wa 6 mwaka jana.
NIMEFATILIA Ofisini kwao mwanza, pale hawana ushirikiano, nikaenda dar,
Nilipewa ahadi tu,
Leo hii nikiangalia kwenye mfumo hamna progress yoyote,
Simu hawapokei, message hawajibu licha ya kufika ofisini kwao wote na wananikumbuk vzr.
Hawa ndio watu sasa. Huku Rais ni kama mungu haguswi
Wahuni haoMbona hamtaji NIDA, kidada kinakosea kuandika jina alafu kinasema haifai kurekebisha, aiseeee
Pia kuna kitu kinaitwa TANESCO NA TRA
Huu ni ukweli aisee tuseme ile hali..
Kazi nyingi hazifanyiki coz sisi wabongo ni washamba sana kuridhika mapema.
Ipo hivi watu wanatengeneza mazingira ya kuleta story na mambo ya mtaani ofisi while ni mda wa kufanya kazi ..wanawake ni wanaboa sana wao utani na mambo ya nyumbani kazini.
Mwaka Jana palikuwa na staff mmoja wa kike alikuwa anataka kuolewa basi ile week moja kabla pale ofisi imekuwa ndo sehemu ya maandalizi yaani wanawake wanaboa mara waje na nguo za sare pale kuonyeshana ,mavigelegele kibao,kupenda makundi dk mbili mtu katoka section yake kaja kwa mwingine ni stori tu na Kuna wanaume pia.
Kingine unakuta wanawake hao waliokuwa na mimba au walijifungua basi wanatoka mda kabla ya muda husika ili kwenda nyonyesha ni very boring katika utendaji kazi kwa kweli waliangalie hili wanawake sio wa kuwategemea ..Mwaka Jana tulipata usumbufu coz wanawake wawili walijifungua nafasi zao itabidi sisi tureplace wakati tuna kazi zetu kazi ngumu kwa kweli .
Africa wengi ni washamba wanashindwa kutofautisha sehemu ya kazi na nyumbani pia wanaamini kweny uchawa yaani sio utendaji kazi kwamba yeye kupata safari nyingi ni kumshobokra bosi sio kufanya kazi kwa juhudi..Mtu anaweza kwenda safari ya kikazi ila kuja kuandaa ripoti ya hiyo kazi ni balaa.
Ukweli ni kwamba watu wapige kazi sio porojo na kukalia majungu .
Mimi Nimefatilia tangu mwezi wa 6 mwaka jana wanipe loan statement niwalipe, maan nishalipa lakini deni halipungui wala haliishi, imeshindikana.
Nimeenda pale mwanza bila mafanikio,
Tena ni wazinguaji sana,
Nimefatilia hadi makao makuu dar (Temeke pale)
Ndio nikakuta Kuna makato yangu kwa miezi kadhaa
Yalikuw yanaingia kwa mnufaika mwingine ambaye majina yangu yanataka kufanana,
Haya wakaniahid kushughulikia, mara shida ni MA-IT,
Na hawakuwepo ofisini,
Lkn mpaka leo kimya, kwenye mfumo hakuna progress yoyote.
Simu hawapokei, msg hawajibu.