Nioneshe ofisi yenye weledi wa kimataifa nami nikuoneshe kuku mwenye mwanya

Hilo la wanawake kujifungua Yaani maternity leave ni haki kimataifa siyo Tanzania tu

Tuseme ukipata ajali hauna haki ya matibabu?ufukuzwe kazi?
Angalia na excuse za wanawake na jinsi ya utendaji wa kazi hat ukipata ajali sehemu yako Inakuwa ni tatizo maana sio kawaida
 
Sheria ya maternity leave ipo kwenye mkataba, sasa unakasirika nini?
 
Ninakupa hii sio mambo ya kusimuliwa. Kama unabisha nitajie ofisi moja ili tubishane. Kwa hiyo, hatua zaidi tunatakiwa kuchukua kama nchi. Bahati mbaya zaidi hata viongozi wa juu nao ni walewale tu.[emoji817][emoji818]
 
Africa is dark continent,
Ndio maana Magu hakuwa na muda na watumishi wa Umma,

Binafsi tangu mwezi 6 mwaka jana nahangaika na Loan board HESLB)
Wanipe loan statement bila mafanikio.
acha uongo dogo. Heslb wanatoa statement ndan ya nusu saa pale makao makuu, na kila kanda.

Hata ukiwatumia email wanajibu.
 
Sheria ya maternity leave ipo kwenye mkataba, sasa unakasirika nini?
Sijakasirika ila tambua ni kitu ambacho kipo hakiepukiki kinaweza kuwa sababu ya kupunguza utendaji kazi kwa baadhi ya section haswa muhusika akitoka.
 
Maofisin kuna watu wanajiona wao ndio wanastahil kusafiri wao tu.wao ndio wana shida na safar wao ndio wanastahil kulipwa ila akisafir mwingine yeye hana shida.
Ila bila kujua yana mwisho hayo,safiri hata safar zote za wizara ukiweza wao si ndio wajanja bwana
 
Mfumo wa majimbo ungekuwa suluhisho kubwa la utoaji huduma mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…