Nionesheni Mwanasiasa asiye na njaa na mimi nitawaonesha Ngamia anayeweza pita katika tundu la sindano

Nionesheni Mwanasiasa asiye na njaa na mimi nitawaonesha Ngamia anayeweza pita katika tundu la sindano

You are right, perfectly right-hakuna mwanasiasa asiye na jaa. Likewise, as an example hakuna mwanaume asiyetamani mwanamke/hakuna mwanaume asiye na nyege, lakini huwezi kumpanda dada, mama shangazi eti kwa vile una nyege/njaa ya sex. Nadhani umenipata! Mfano, ACT Wazalendo maamuzi yao kuunga mkono juhudi za Mwinyi Zanzibar ni ancestry of things!
 
Kama ujumbe ulivyo hapo juu twendeni. Maana naona makelele mengi eti ooh upinzani una njaaa mara eeeh fulani anapigania tumbo. Sasa leteni list ya wanasiasa wasio na njaa hapa kwetu tuone.
Ngamia ni kamba mbona unaipa uhai mkuu? Nirudi kwenye mada, kila mara huwa nasema hapa jukwaani kuwa siasa ni ajira kama ajira nyingine. Siku zote mtu anayetafuta ajira ana njaa.
 
You are right, perfectly right-hakuna mwanasiasa asiye na jaa. Likewise, as an example hakuna mwanaume asiyetamani mwanamke/hakuna mwanamme asiye na nyege, lkn huwezi kumpanda dada, mama shangazi eti kwa vile una nyege/njaa ya sex. Nadhani umenipata! Mfano, Ya ACT Wazalendo ya maamuzi yao kuunga juhudi Mwinyi Zanzibar, ni ancestry of things!
Sasa njaa ya siasa unayoikubali wewe ni ipi na mipaka yake ni ipi?
 
Kama ujumbe ulivyo hapo juu twendeni. Maana naona makelele mengi eti ooh upinzani una njaaa mara eeeh fulani anapigania tumbo. Sasa leteni list ya wanasiasa wasio na njaa hapa kwetu tuone.
Kuna tofauti ya njaa, uroho, ulafi na tamaa. Wanasiasa wa kwetu Afrika wamejaa uroho, ulafi na tamaa. Sawa na mwanaume uambiwe uwe shoga na uolewe ulipwe bilioni, mtu unaweza kuwa na njaa ila ukakataa bilions ili ugeuzwe mke shoga. Yaani wapo tayari kuuza utu na heshima zao
 
Kama ujumbe ulivyo hapo juu twendeni. Maana naona makelele mengi eti ooh upinzani una njaaa mara eeeh fulani anapigania tumbo. Sasa leteni list ya wanasiasa wasio na njaa hapa kwetu tuone.
Kwame Nkuruma. Rashid Kawawa na wanasiasa wengine wote waliotangulia mbele ya haki hawahitaji pesa
 
Back
Top Bottom