Nionesheni Mwanasiasa asiye na njaa na mimi nitawaonesha Ngamia anayeweza pita katika tundu la sindano

Nionesheni Mwanasiasa asiye na njaa na mimi nitawaonesha Ngamia anayeweza pita katika tundu la sindano

camel-needle.jpg
 
Kwa wachumia tumbo na wanafiki ambao maslahi yao wameyapa kipaumbele kuliko yale ya Nchi na Wananchi. Baba wa Taifa aliwahi kusema hadharani, “CCM si mama yangu” pia kuhusu wanasiasa malaya malaya.


🤣🤣🤣


MAKUBALIANO na MARIDHIANO hayaepukiki SIASANI....
 
Unamaanisha njaa ipi
Njaa ya mafanikio kiuongozi ama njaa tamaa ya pesa za haraka
 
You are right, perfectly right-hakuna mwanasiasa asiye na jaa. Likewise, as an example hakuna mwanaume asiyetamani mwanamke/hakuna mwanamme asiye na nyege, lkn huwezi kumpanda dada, mama shangazi eti kwa vile una nyege/njaa ya sex. Nadhani umenipata! Mfano, Ya ACT Wazalendo ya maamuzi yao kuunga juhudi Mwinyi Zanzibar, ni ancestry of things!
Wameharibu sana
 
Kama ujumbe ulivyo hapo juu twendeni. Maana naona makelele mengi eti ooh upinzani una njaaa mara eeeh fulani anapigania tumbo. Sasa leteni list ya wanasiasa wasio na njaa hapa kwetu tuone.
Siku Mbowe na Lissu wakiunga mkono juhudi nitaacha siasa
 
Kwa wachumia tumbo na wanafiki ambao maslahi yao wameyapa kipaumbele kuliko yale ya Nchi na Wananchi. Baba wa Taifa aliwahi kusema hadharani, “CCM si mama yangu” pia kuhusu wanasiasa malaya malaya.

ACT ni CCM D
 
Lissu atakumbukwa,aliahidiwa cheo hadi na JPM,lakini hakubadilika,live long Lissu.
Angepewa kazi ya kuwa mlinzi labda ndo maana alikimbia kulinda watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]labda Mdee[emoji470]
Nimecheka sana, ukimuangalia Mdee kwa sasa kashazeeka ghafla. Huko CCM sijui kuna nini maana hata SLOW SLOW alizeeka ghafla mara tu alipopokea uteuzi.
 
Nimecheka sana""""ukimuangalia Mdee kwa sasa keshazeeka ghafla. Huko ccm sijui kuna nini maana hata SLOW SLOW alizeeka ghafla mara tu alipopokea uteuzi.
Mkuu punguza masimango
 
Mkuu punguza masimango
Tusameheane mkuu wangu. Sitarudia tena japo ukiwaangalia utagundua kuwa nilichoongea ni kweli kabisa. Any way acha nipalilie strawberry zangu nijiingizie chochote kitu kwa ajili ya familia yangu
 
Tusameheane mkuu wangu. Sitarudia tena japo ukiwaangalia utagundua kuwa nilichoongea ni kweli kabisa. Any way acha nipalilie strawberry zangu nijiingizie chochote kitu kwa ajili ya familia yangu
Sawa mkuu sisi ni ndugu. Zikishakua tayari tujulishe ili tuinuane
 
Hivi bado mnawamini wanasiasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nirudi kwenye jukwaa la warembooo wakali tu

Ova
 
Kuna tofauti ya njaa, uroho, ulafi na tamaa. Wanasiasa wa kwetu Afrika wamejaa uroho, ulafi na tamaa. Sawa na mwanaume uambiwe uwe shoga na uolewe ulipwe bilioni, mtu unaweza kuwa na njaa ila ukakataa bilions ili ugeuzwe mke shoga. Yaani wapo tayari kuuza utu na heshima zao
ndiyo maana utasikia freemason iko sana TZ
 
Back
Top Bottom