Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,798
- 9,413
Show me someone who told you he's never Shit in his life and I'll point to you someone full of shit.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisha kufa, ahera atanunua nini na mijipesa yakeSijapata stori za Kwame ila huyo Kawawa toa kabisa hapo!
yes..... au kuna shida?Unamaanisha incest mkuu? Hapo kwenye ancestry? [emoji6]
🤣🤣🤣
MAKUBALIANO na MARIDHIANO hayaepukiki SIASANI....
Wameharibu sanaYou are right, perfectly right-hakuna mwanasiasa asiye na jaa. Likewise, as an example hakuna mwanaume asiyetamani mwanamke/hakuna mwanamme asiye na nyege, lkn huwezi kumpanda dada, mama shangazi eti kwa vile una nyege/njaa ya sex. Nadhani umenipata! Mfano, Ya ACT Wazalendo ya maamuzi yao kuunga juhudi Mwinyi Zanzibar, ni ancestry of things!
Siku Mbowe na Lissu wakiunga mkono juhudi nitaacha siasaKama ujumbe ulivyo hapo juu twendeni. Maana naona makelele mengi eti ooh upinzani una njaaa mara eeeh fulani anapigania tumbo. Sasa leteni list ya wanasiasa wasio na njaa hapa kwetu tuone.
Kwa wachumia tumbo na wanafiki ambao maslahi yao wameyapa kipaumbele kuliko yale ya Nchi na Wananchi. Baba wa Taifa aliwahi kusema hadharani, “CCM si mama yangu” pia kuhusu wanasiasa malaya malaya.
Angepewa kazi ya kuwa mlinzi labda ndo maana alikimbia kulinda watuLissu atakumbukwa,aliahidiwa cheo hadi na JPM,lakini hakubadilika,live long Lissu.
Nimecheka sana, ukimuangalia Mdee kwa sasa kashazeeka ghafla. Huko CCM sijui kuna nini maana hata SLOW SLOW alizeeka ghafla mara tu alipopokea uteuzi.[emoji23][emoji23][emoji23]labda Mdee[emoji470]
😁😁Nimecheka sana""""ukimuangalia Mdee kwa sasa keshazeeka ghafla. Huko ccm sijui kuna nini maana hata SLOW SLOW alizeeka ghafla mara tu alipopokea uteuzi.
Mkuu punguza masimangoNimecheka sana""""ukimuangalia Mdee kwa sasa keshazeeka ghafla. Huko ccm sijui kuna nini maana hata SLOW SLOW alizeeka ghafla mara tu alipopokea uteuzi.
Tusameheane mkuu wangu. Sitarudia tena japo ukiwaangalia utagundua kuwa nilichoongea ni kweli kabisa. Any way acha nipalilie strawberry zangu nijiingizie chochote kitu kwa ajili ya familia yanguMkuu punguza masimango
Sawa mkuu sisi ni ndugu. Zikishakua tayari tujulishe ili tuinuaneTusameheane mkuu wangu. Sitarudia tena japo ukiwaangalia utagundua kuwa nilichoongea ni kweli kabisa. Any way acha nipalilie strawberry zangu nijiingizie chochote kitu kwa ajili ya familia yangu
wasio na njaa, sio waliokuwa hawana njaa. Tusichanganye tensesNyerere.
ndiyo maana utasikia freemason iko sana TZKuna tofauti ya njaa, uroho, ulafi na tamaa. Wanasiasa wa kwetu Afrika wamejaa uroho, ulafi na tamaa. Sawa na mwanaume uambiwe uwe shoga na uolewe ulipwe bilioni, mtu unaweza kuwa na njaa ila ukakataa bilions ili ugeuzwe mke shoga. Yaani wapo tayari kuuza utu na heshima zao