Niongeze coin gani kwenye portfolio yangu

Mlolongo

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
3,483
Reaction score
6,257
Currently porfolio yangu ina coin zifuatazo:

  • Ripple (XRP)
  • Cardano (ADA)
  • Tron (TRX)

Kuna coin zimenipita mpaka najilaumu:
- Solana last year wakati price ilikua $9. Leo hii 1 SOL = $164

- Binance coing (BNB) mwaka 2018 mwanzoni (na pesa nilikua nayo kabisa) price ilikua $5, leo hii 1 BNB = $570.

Anyway, kwa sasa natamani kuongeza other coins in my porfolio, where I project after let's say five years nipate substantial ROI.

Kuna mwenye yupo active kwenye crypto market for the last two years anipe suggestion of the best three coins which I can add to my portfolio?

My preferences:
  • Price ya coin isiwe zaidi ya $ 10 per coin (napendelea zaidi zenye less than $5)
  • badala ya kuongeza different coin, nafikiria kuongezea XRP na ADA maana bado market price haijavuka $1 mark
 
Moja ya maeneo nayotamani kujitupa Aisee juzi tu nimeanza Kusoma upya altcoins sema huwa nakwama kwenye verification sina Nida ID ila nataman sana crypto..
 
Napenda sana kuingia kwenye huu ulimwengu, shida sina elimu husika.
 
Currently porfolio yangu ina coin zifuatazo:

  • Ripple (XRP)
  • Cardano (ADA)
  • Tron (TRX)

Kuna coin zimenipita mpaka najilaumu:
- Solana last year wakati price ilikua $9. Leo hii 1 SOL = $164

- Binance coing (BNB) mwaka 2018 mwanzoni (na pesa nilikua nayo kabisa) price ilikua S5, leo hii 1 BNB = $570.

Anyway, kwa sasa natamani kuongeza other coins in my porfolio, where I project after let's say five years nipate substantial ROI.

Kuna mwenye yupo active kwenye crypoto market for the last two years anipe suggestion of the best three coins which I can add to my portfolio?

My preferences:
  • Price ya coin isiwe zaidi ya $ 10 per coin (napendelea zaidi zenye less than $5)
  • badala ya kuongeza different coin, nafikiria kuongezea XRP na ADA maana bado marke price haijavuka $1 mark
Dogo mlolongo kumbe na wewe hupo kwenye crypto? Nakushauri Fantom coin utakuja kushukuru. XRP ripple na Cardano ni overrated.

Pia Vechain crypto ni potential sana.

Halafu kwaanzia September crypto itaexplore.
 
Umeinvest kwenye platform gani?
 
Haya mambo yamenipita, nasikia sijui dogecoin, sijui bitcoin mara Binance!

Najiuliza ukizinunua let's say kwa pesa kadhaa ukasubiri zikue unaweza kuziuza wapi?
 
Unaziuza huko huko ulipozinunua.

Let's say umenunua hisa za CRDB, then after 5 years, ukitaka kuziuza unafanyaje?
 
Dogo mlolongo kumbe na wewe hupo kwenye crypto? Nakushauri Fantom coin utakuja kushukuru. XRP ripple na Cardano ni overrated.

Pia Vechain crypto ni potential sana.

Halafu kwaanzia September crypto itaexplore.
ngoja nizichek...
sema naona kipindi hiki, karibu 'coins' zote zipo kwenye BULLISH momentum.
napata mashaka kama ni muda mzuri wa kununua coin.
 
Back
Top Bottom