Niongeze coin gani kwenye portfolio yangu

Niongeze coin gani kwenye portfolio yangu

Nipo Binance.
nilijisajili tangu inaanzishwa kipindi kile 2017.
wakati huo BNB naishuhudia inapanda taratibu nikawa naipuuzia, qmamake.
Dogo jiunge na hii platform gate.io utanishukuru ina cryptos zote na ambazo huzipati binance na kwenye platform zingine.

Kwa mfano binance wameiondoa Shiba inu na altcoins kibao hazipo binance.

Kama hii vechain niliyokuambia haipo binance.

Kuna hizi coins.

- zkrace
-Altura
- ufo gaming

Nunua hizo coins pia mwanangu na uwe mvumilivu tu.

Hii Fantom itakuja kuwa ka Solana

20240723_231020.jpg
 
Kuna coins mpya zinaingia sokoni September zinaitwa ELS NA BEASTBORNE. BEASTBORNE COIN itatumika kwenye metaverse na NFTs ambazo nazo zinaingia sokoni mwisho Wa mwezi huu. Kuna community inaitwa FIDERITY NA IREV ndo wanafuikaji Kwa Sasa kabla ya uzinduzi huu Mwisho Wa mwezi huu. Kuna mambo mengine kama 2x per weekly profit ya Uwekezaji wako Kwa week 120 na mwisho Wa contact mtajinwako unarudishwa na fixed ya mwaka mwaka ambapo per year unapata 400%. Kwa kujifunza zaidi na kuielewa zaidi. Nitakuunga kwenye group lenye wafuasi 600 Hadi Sasa ambao naonkwa sehemu kubwa wamekwisha wekeza humo. Nicheki whatsup Kwa +255746 785704 nitajie kina lako moja then andika NIUNGE. ukiona humo upaelewi na hiyo project haufakiani nayo unaweza ukaleft group. KARIBU.
 
Kama ulifanya Notcoin ukapata Hela ya kula ukafanya Dogs ukapata Hela ya simu mpya basi njoo ufanye hii mpya ujipate kimaisha this time tunaifanya 100% na kwa atayekosa 1,000$+ basi huyo kamwe sio mpambanaji

Project zote mbili zimeletwa na timu hiyo hiyo ambayo imepika mchongo huu basi join chap then kaa nasi tukupe mbinu za kukusanya mkwanja mrefu

Join kupitia hii link na si nyingine kuwa makini na fake links

Bado siku nne iishe, Huwa inasumbua kufungua washa VPN fungua then Zima vpn
 
Kama ulifanya Notcoin ukapata Hela ya kula ukafanya Dogs ukapata Hela ya simu mpya basi njoo ufanye hii mpya ujipate kimaisha this time tunaifanya 100% na kwa atayekosa 1,000$+ basi huyo kamwe sio mpambanaji

Project zote mbili zimeletwa na timu hiyo hiyo ambayo imepika mchongo huu basi join chap then kaa nasi tukupe mbinu za kukusanya mkwanja mrefu

Join kupitia hii link na si nyingine kuwa makini na fake links

Fanya na hii mkuu Bado siku nne tu

Back
Top Bottom