Nipambanaje na wawangaji bila maombi na bila kutumia nguvu za giza??

Amen, asante mkuu
 
Wengine wanasema ukipaka mafuta ya kitimoto basi ni kiboko yao. Jaribu hiyo mkuu
 
Lala uchi tu wakija watahisi ni mwenzi wao so hawatakusumbua.
 
mwaga chumvi ya mawe nyumba yote au kuzunguka kitanda,hii mbinu aliyufundisha [HASHTAG]#mshana jr[/HASHTAG]
 
Mkuu jana nimekemea sana. Nikanyunyiza na maji, lkn wapi!!
hahahahahah, pole mkuuu
Iman yako ndio itakayokuponya. usipoamini nguvu ya Yesu ndani ya maisha yako ni ngumu kushinda.
Kwanza amini yeye ni mshindi wa vyote na hakika hakuna kitakachokushinda juu ya hilo jina kuu kuliko majina yote.
Ubarikiwe sana.
 
hayo mambo nimejionea Mwenyewe Jana kulala na kuamka pesa zote zimeibiwa kwa pochi ama kweli kuna wanga usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…