kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
- Thread starter
- #21
Amen, asante mkuuMkuu maombi ni silaha katika kila jambo, Muombe Mungu na mkabidhi yesu maisha yako hakika hautapata tabu tena , wachawi watakuja Kwa njia moja Ila watasambaratika Kwa njia sana. Mtegemee Mungu, Kwa akili zetu au sijui njia za asili ni bure mkuu. Hata hizo nguvu za giza ni kujidanganya tu hazina kitu. Mungu ndie muweza wa yote. Omba mkuu Mungu hachelewi.
Ahsante, naamini utamuomba sana Mwenyezi Mungu.