Nipashe: Mchakato wa Chato kuwa mkoa umekamilika

Hadhani mipaka ya mikoa jirani na CHATO itaguswa katika kuunda mkoa mpya wa CHATO. Kuna uwezekano makao makuu ya baadhi ya mikoa itakayoguswa na huu mchakato nayo kubadilika kidogo.
Nawasilisha
 
Wangebadilisha mkoa wa Geita uitwe Chato kuliko kugawa gawa mikoa, how about mikoa mikubwa ka Morogoro, Tabora au na wao siku wakipata Rais ndio wataigawa hyo mikoa?
Aibu tupu kufanya vitu bila kufata utaratibu
 
Kwahyo kikwete,mkapa na nyerere walilala sana kutokutaka vijiji vyao viwe mkoa na kujipendelea?
 
Mie nawaonea huruma watu wa Chato , watahangaika sana kuukamilisha huo mkoa kwa hadhi na huduma! Hili jambo Mwendazake ndiye alikuwa mkandarasi tangu kuibadili Chato kutoka kuwa kijiji hadi kuwa wilaya na jimbo!
Baada ya kifo chake hii ajenda wangejipa muda, wakumbuke hivi sasa hakuna mtu wa kupeleka miradi kwa upendeleo kule Chato, miradi itatekelezwa ndio lakini si kwa ile rate ya Mwendazake!
Kuna mikoa na wilaya mpya mpaka sasa hata majengo ya ofisi bado hayajakmilika achilia mbali hospitali za mikoa na wilaya hizo, hivyo ntashangaa kama serikali itaacha kukmilisha huko ianze kuhangaika na Chato!
 
Wangebadilisha mkoa wa Geita uitwe Chato kuliko kugawa gawa mikoa, how about mikoa mikubwa ka Morogoro, Tabora au na wao siku wakipata Rais ndio wataigawa hyo mikoa?
Aibu tupu kufanya vitu bila kufata utaratibu
Yeah! Hilo ndilo lilikuwa la kufanya ila sio project ya mkoa mpya! Hapana! Waziri Ummy naomba turudi mezani kwa hili!
 
Nashauri mchakato wa kuifanya Chato kuwa mkoa uende sambamba na uondwashwaji wa mikokoteni inayoendeshwa na punda hapo kijijini Chato
 
Hadhani mipaka ya mikoa jirani na CHATO itaguswa katika kuunda mkoa mpya wa CHATO. Kuna uwezekano makao makuu ya baadhi ya mikoa itakayoguswa na huu mchakato nayo kubadilika kidogo.
Nawasilisha
Hii ajenda ni ya kuifuta tu kwasababu tangu mwanzo ina vimelea vya ubin afsi na ubaguzi! Mkoa wa Geita wenyewe bado haujakamilika sawsawa, ulisharukia Chato!
Nakumbuka mwaka 2019 nilikuwa mkoani Ruvuma ambapo Hayati Rais Magufuli alikuja kule akitokea mikoa ya Lindi na Mtwara alikowaambia watengeneze hata Gongo ya Korosho kutokana na uhaba wa soko lake! Akiwa Ruvuma nako alitoa kauli ya kutatanisha alipoombwa wana Ruvuma kuugawa mkoa wa Ruvuma kutokana na ukubwa wake! Nakumbuka Rais alikataa ombi hilo na kuwaambia suburini nikimaliza utawala wangu mbaki muweke hata mikoa Hamsini! Wakati Ruvuma wanaambiwa hivyo kule Chato ajenda ikapita chapchap!
 
Magufuli nalikua kiongozi mbinafsi sana ila watanzania hawajui tuuu
 
Wengine pigeni kelele tu, tunaoumia ni Mimi na Anna Tibaijuka ambao maelfu ya ekari za ardhi yetu yatamegwa kutoka Muleba kwenda Chato...
 
Kwahyo kikwete,mkapa na nyerere walilala sana kutokutaka vijiji vyao viwe mkoa na kujipendelea?
Nyerere aliwahi kusema Katiba yetu ni mbovu sana inaweza ikatuletea dikteta na mungu-mtu.
Sema TZ wengi ni kama kenge-maji. Hadi waone damu ndo wanajua wamepigwa na kitu kizito!
 
Gaidi hamza alishauliwa Bado gaidi mbowe na wenzake kunyongwa
 
Wangebadilisha mkoa wa Geita uitwe Chato kuliko kugawa gawa mikoa, how about mikoa mikubwa ka Morogoro, Tabora au na wao siku wakipata Rais ndio wataigawa hyo mikoa?
Aibu tupu kufanya vitu bila kufata utaratibu
We unaota ? Achana kabisa na Geita yetu. Eti ibadilishwe jina. Unaifahamu Geita wewe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…