Mwadilifu Mdhulumiwa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2021
- 419
- 640
Wewe acha kuongea upupu wenye nchi ndio kiwahili gani? Kila mwananchi ni mwananchi ni mwenye nchi hii, kama wewe si mwenye nchi hii hamia Burundi! Naona unaokoteza point!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Morogoro ina population kubwa imagine kutoka wilaya moja kwenda nyingi unatumia siku nzima why isiganywe hyo au vile haijawahi kutoa hata Waziri mkuu?Morogoro na tabora ni mikoa mikubwa lakini imejaa mapori na hifadhi..wakati ukanda wa shinyanga unapopulation kubwa sana per unit area
Hata Morogoro ina population kubwa imagine kutoka wilaya moja kwenda nyingi unatumia siku nzima why isiganywe hyo au vile haijawahi kutoa hata Waziri mkuu?
Wewe acha kuongea upupu wenye nchi ndio kiwahili gani? Kila mwananchi ni mwananchi ni mwenye nchi hii, kama wewe si mwenye nchi hii hamia Burundi! Naona unaokoteza point!
Mwanza na chato wapi na wapi acha upumbavu.Mwanza imezaa mikoa miwili ndani ya muda mfupi sana!
Toka lin chato ilikuwa sehemu ya Mwanza? Chato ilikuwa ni sehemu ya wilaya ya bihalamuro huko mkoani Kagera acheni fitina za kijinga.Vizuri sana, Jiji la mwanza limezalisha mikoa miwili....so msiwe na khofu Mh rais atatekeleza
Hujui chato iko Geita ambayo ilikuwa wilaya ndani ya mkoa wa Mwanza ?Mwanza na chato wapi na wapi acha upumbavu.
Simiyu imemegwa kutoka mkoa wa shinyanga acheni ujinga.Chato utakuwa n mkoa wa tatu baada ya Geita na Simiyu
Sibishani na mpumbavu ata siku moja, hiyo chato ilikuwa ni sehemu ya wilaya ya bihalamuro mkoa wa kagera, baadae ikasogezwa kuwa moja ya wilaya ya geita na sasa itapand kuwa mkoa, nyie waseng%$# kila kitu kinachofanyika kanda ya ziwa mnakuwa mnakuwa mnainafikia Mwanza.Hujui chato iko Geita ambayo ilikuwa wilaya ndani ya mkoa wa Mwanza kabla ya kuwa mkoa?
Wewe ndie unaonekana mpumbav,shwain!
Tangulia wewe!Uhusiano upo!Huoni hata ziwa wanashare!Hiyo lawama unaitupia Mwanza au unaitupia serikali mimi nakuambia hivi hakuna uhusiano wowote kati ya Mwanza na Chato kama hutaki kajinyonge.
Kwa hiyo ata dar inauhusiano na india kwasababu wameshare bahari ya hindi, ubongo wako unafanya kazi vizuri kweli wewe.Tangulia wewe!Uhusiano upo!Huoni hata ziwa wanashare!
Nini maana ya uhusiano?Wewe ndio tope!Huwezi kutenganisha Kwanza na Chato!Kwa hiyo ata dar inauhusiano na india kwasababu wameshare bahari ya hindi, ubongo wako unafanya kazi vizuri kweli wewe.
Sio kwanza ni Mwanza acha papara tuliza akili, hiyo dharula yenyewe inasemaj? Umbali kutoka Mwanza adi chato?Nini maana ya uhusiano?Wewe ndio tope!Huwezi kutenganisha Kwanza na Chato!
Unaambiwa hata uwanja Wa ndege Chato umejengwa kusaidia uwanja wa Mwanza wakati Wa dharura!
Wee VP?
Unafanana akili na ID yako,kutohusisha fikra zako na ID yako ni uwendawazimu!Sio kwanza ni Mwanza acha papara tuliza akili, hiyo dharula yenyewe inasemaj? Umbali kutoka Mwanza adi chato?
Ww una undugu na bata mizinga, hiyo chato imetoka Geita au imetoka Mwanza, ata kama chato iwe mkoa ay isiwe mkoa wewe inakunufaisha nini na familia yako? Wewe ndo Swine tena kwenye group la porcine.Unafanana akili na ID yako,kutohusisha fikra zako na ID yako ni uwendawazimu!
Chato ni Mjukuu Wa Kwanza,kwisha!
Mwanao akiasili Mtoto,huyo mtoto anakuwa sio Mjukuu wako?Shwain!