Nipashe: Mchakato wa Chato kuwa mkoa umekamilika

Nipashe: Mchakato wa Chato kuwa mkoa umekamilika

Tulia dawa ikuingie kenge wewe.
Unadhani mi boya kama wee mzee wa kusifia hata watu wakiharisha, stupid fellow ,kwahiyo wewe unaona ni suala la maana kuwa na mkoa kijiji? sukuma gang mna matatizo sana
 
Toka lin chato ilikuwa sehemu ya Mwanza? Chato ilikuwa ni sehemu ya wilaya ya bihalamuro huko mkoani Kagera acheni fitina za kijinga.

Chato ni wilaya ya geita, na geita ilikuwa ndani ya Mwanza. Hiyo biharamulo imetoka wapi?
 
Wanakidhi vigezo vya kuwa mkoa ? Je, walishapeleka mapendekezo serikalini yakakataliwa ?
Mbona sijaona mchakato wa kupata Mikoa ya Msoga na ule wa Lupaso? ama mimi ndio sielewi? yaani hiki kijiji kinawapa watu tabu wanahangaiiika ili kiwe mkoa , mbona watanzania tunakua wajinga sana, ili iweje kikishakua mkoa?
 
Unajua chato ilipotokea au unakurupuka kama punguani.

The Chato District was formed around 2005 within Kagera Region after being separated from Biharamulo District. In 2012, it was transferred to the newly created Geita Region.[5][6]

In March 2006, Rwandan refugees who had settled in the district were evicted. The following year, a few who had been evicted improperly were allowed to come back.[7]

Uko sahihi mkuu, but kwa sasa iko Geita.
 
Na itakuwa mkoa
 
Hujui kitu wakerewe walitokea kisiwa cha kerebe kilichopo wilaya ya muleba mkoani Kagera. Ni ndugu zenu hao msiwakane.
Hata hii ramani inatofautisha vzr kati ya wahaya na makabila mengine madogo madogo.

Husilazimishe undugu husiokuwepo.

Kasome vzr ujue wahaya ni akina nani halisi sio kila mtu anayetoka kagera Basi ni muhaya.

images%20-%202021-10-11T180307.535.jpg
 
Kajifunze immigration ya makabila ya Tanzania yalivyokuwa yakimove. nimekwamvia hujui kitu. Kikerewe, kizinza, kisubi na kihaya ni kama lugha moja tu. Kawaulize babu zako watakuambia.
Hata hii ramani inatofautisha vzr kati ya wahaya na makabila mengine madogo madogo.

Husilazimishe undugu husiokuwepo.

Kasome vzr ujue wahaya ni akina nani halisi sio kila mtu anayetoka kagera Basi ni muhaya.

View attachment 1971297
 
Daaah! Nasikia Ngara wameshakubali, kwahiyo sooon CHATTLE mkoa.
Mungu tunusuru
 
Unaijua chato?

Kwa nini unatolea maoni kitu usichokijua kabisa??
Kuijua vp.. ?! Yani huo mkoa wa geita tu. Haujatimiza hata miaka 10 leo ndani ya mkoa nao tupate mkoa mwingine..
Hakika mwendazke angekuwepo leo chattle ingekuwa nchi
 
Gazeti la Nipashe toleo la leo limeripoti kuwa mchakato wa kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa mpya wa CHATO umekamilika rasmi na sasa anasubiriwa rais Samia kuitangaza kuwa mkoa tarehe 14/10/2021 hivyo kutimiza ndoto na maono ya hayati Dr Magufuli aliyekuwa rais wa 5 wa nchi yetu.View attachment 1958050
I can't wait
 
Inaonekana kabla JPM hajafa alimwambia SSH lazima chato iwe mkoa manake sioni sababu nzuri ya kufanya hivyo isipokuwa ni wosia wa mtu!
Kauli ya mkuu wamajeshi hukumbuki ,ninamambo mengi niliopewa namarehemu nitakulea ikulu
 
Back
Top Bottom