Nipashe: Mchakato wa Chato kuwa mkoa umekamilika

Wewe acha kuongea upupu wenye nchi ndio kiwahili gani? Kila mwananchi ni mwananchi ni mwenye nchi hii, kama wewe si mwenye nchi hii hamia Burundi! Naona unaokoteza point!
 
Morogoro na tabora ni mikoa mikubwa lakini imejaa mapori na hifadhi..wakati ukanda wa shinyanga unapopulation kubwa sana per unit area
Hata Morogoro ina population kubwa imagine kutoka wilaya moja kwenda nyingi unatumia siku nzima why isiganywe hyo au vile haijawahi kutoa hata Waziri mkuu?
 
Makao makuu yakiwekwa Biharamulo au Nyakanazi haki itakuwa imetendeka.
 
Hata Morogoro ina population kubwa imagine kutoka wilaya moja kwenda nyingi unatumia siku nzima why isiganywe hyo au vile haijawahi kutoa hata Waziri mkuu?
Nani amekuzuia kuigawanya?
 
Nani kawazuia kupeleka mapendekezo TAMISEMI ?
Hata Morogoro ina population kubwa imagine kutoka wilaya moja kwenda nyingi unatumia siku nzima why isiganywe hyo au vile haijawahi kutoa hata Waziri mkuu?
 
Wenye nchi ndio hao watoa maamuzi. Wewe mwananchi wa kawaida utaishia kuugulia tu. Pole sana. Naona siku Chato ikitangazwa kuwa mkoa utajinyonga.
Wewe acha kuongea upupu wenye nchi ndio kiwahili gani? Kila mwananchi ni mwananchi ni mwenye nchi hii, kama wewe si mwenye nchi hii hamia Burundi! Naona unaokoteza point!
 
Wenye nchi ndio hao watoa maamuzi. Wewe mwananchi wa kawaida utaishia kuugulia tu. Pole sana. Naona siku Chato ikitangazwa kuwa mkoa utajinyonga.
Atalia na kusaga meno
 
Vizuri sana, Jiji la mwanza limezalisha mikoa miwili....so msiwe na khofu Mh rais atatekeleza
Toka lin chato ilikuwa sehemu ya Mwanza? Chato ilikuwa ni sehemu ya wilaya ya bihalamuro huko mkoani Kagera acheni fitina za kijinga.
 
Hujui chato iko Geita ambayo ilikuwa wilaya ndani ya mkoa wa Mwanza kabla ya kuwa mkoa?
Wewe ndie unaonekana mpumbav,shwain!
Sibishani na mpumbavu ata siku moja, hiyo chato ilikuwa ni sehemu ya wilaya ya bihalamuro mkoa wa kagera, baadae ikasogezwa kuwa moja ya wilaya ya geita na sasa itapand kuwa mkoa, nyie waseng%$# kila kitu kinachofanyika kanda ya ziwa mnakuwa mnakuwa mnainafikia Mwanza.
 
Hiyo lawama unaitupia Mwanza au unaitupia serikali mimi nakuambia hivi hakuna uhusiano wowote kati ya Mwanza na Chato kama hutaki kajinyonge.
Tangulia wewe!Uhusiano upo!Huoni hata ziwa wanashare!
 
Kwa hiyo ata dar inauhusiano na india kwasababu wameshare bahari ya hindi, ubongo wako unafanya kazi vizuri kweli wewe.
Nini maana ya uhusiano?Wewe ndio tope!Huwezi kutenganisha Kwanza na Chato!
Unaambiwa hata uwanja Wa ndege Chato umejengwa kusaidia uwanja wa Mwanza wakati Wa dharura!
Wee VP?
 
Sio kwanza ni Mwanza acha papara tuliza akili, hiyo dharula yenyewe inasemaj? Umbali kutoka Mwanza adi chato?
 
Unafanana akili na ID yako,kutohusisha fikra zako na ID yako ni uwendawazimu!
Chato ni Mjukuu Wa Kwanza,kwisha!
Mwanao akiasili Mtoto,huyo mtoto anakuwa sio Mjukuu wako?Shwain!
 
Ww una undugu na bata mizinga, hiyo chato imetoka Geita au imetoka Mwanza, ata kama chato iwe mkoa ay isiwe mkoa wewe inakunufaisha nini na familia yako? Wewe ndo Swine tena kwenye group la porcine.
 
Back
Top Bottom