Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Gazeti la Nipashe toleo la leo limeripoti kuwa mchakato wa kuifanya wilaya ya Chato kuwa mkoa mpya wa CHATO umekamilika rasmi na sasa anasubiriwa rais Samia kuitangaza kuwa mkoa tarehe 14/10/2021 hivyo kutimiza ndoto na maono ya hayati Dr Magufuli aliyekuwa rais wa 5 wa nchi yetu.View attachment 1958050
Hadhani mipaka ya mikoa jirani na CHATO itaguswa katika kuunda mkoa mpya wa CHATO. Kuna uwezekano makao makuu ya baadhi ya mikoa itakayoguswa na huu mchakato nayo kubadilika kidogo.
Nawasilisha