Nipashe: Mchakato wa Chato kuwa mkoa umekamilika

Duuh..
Kichekesho!
 
Reactions: BAK
Juhudi za kumuenzi dikteta ná dhalimu magufuli zikiongozwa na gaidi Mwigulu Nchemba na lile kundi lake maarufu la Axis of Evil Ndugai, Mpango. Sirro, Majaliwa. Tulia. Dorothy, Msigwa and few more.

 
Bashite mfoji vyeti na muuaji na kundi lako la watu wasiojulikana sasa mmerudi ulingoni rasmi kupambana na wa KUDEMKA na timu yake. Ama zake ama zenu.
Your browser is not able to display this video.


 
Geita yenye dhahabu iitwe Chato ! Hauko serious kabisa na hujui kitu. Unaifahamu Geita wewe ?
We acha mihemko nani kakwambia dhahabu pekee ndio kigezo cha wilaya kuwa mkoa? Hizo dhahabu si zilikuwepo hata wakati Geita ikiwa ni mojawapo ya wilaya za mkoa wa Mwanza!
Alafu mbona hukubisha soko la madini lilipojengwa Chato akati dhahabu iko Geita?
 
Jamani mbona Kilimanjaro haipitishwi kuwa Jiji? Kuna Nini?
 
Wangebadilisha mkoa wa Geita uitwe Chato kuliko kugawa gawa mikoa, how about mikoa mikubwa ka Morogoro, Tabora au na wao siku wakipata Rais ndio wataigawa hyo mikoa?
Aibu tupu kufanya vitu bila kufata utaratibu
Morogoro na tabora ni mikoa mikubwa lakini imejaa mapori na hifadhi..wakati ukanda wa shinyanga unapopulation kubwa sana per unit area
 
Soko la dhahabu limejenga buseresere na katoro..na siyo chato..acha uwongo kudanganya watu wasiojua geifraphia
 


Kikao maalumu cha ushauri cha Mkoa wa Geita, kimeridhia kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Chato na kupendekeza mkoa huo mpya kuwa na wilaya tano, huku mkoa mama wa Geita ukibaki na wilaya tatu. Alisema kama vigezo vimekidhi suala hilo litakamilishwa, na kama havijakidhi watashauri namna ya kufanya ili vikidhi.

Kulingana na maelezo ya kikao hicho, Mkoa wa Geita utakuwa na tarafa 16, kata 108, vijiji 379 katika eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 23,697.55 lenye wakazi 2,668,173.

Aidha, mkoa mpya wa Chato utakuwa na tarafa 18, kata 87, vijiji 360 huku ukiwa na ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 30,215.85, lenye watu 1,557,139.


Vigezo vya uanzishwaji mkoa

Kwa mujibu wa mwongozo wa Tamisemi wa mwaka 2014, vigezo vya kuzingatia katika kuanzisha mkoa ni pamoja na kuwa na ukubwa wa eneo lenye kilomita za mraba usiopungua 20,000. Pia kuwa na wilaya nne, idadi ya watu isiyopungua asilimia tatu ya idadi ya kitaifa, tarafa zisizopungua 15, idadi ya kata zisizopungua 45 na idadi ya vijiji visivyopungua 150.

 
soko la dhahabu limejenga buseresere na katoro..na siyo chato..acha uwongo kudanganya watu wasiojua geifraphia
Duu! Hasira zenu Sukuma Gang ni kubwa sana! Sasa mnagombana Chato iwe mkoa kwa huo mtindo wa vodafasta huoni kama mtateseka sana!
Mkandarasi wa hayo yote alishafariki, in short amekufa na ndoto zake, mlipashwa kuanza upya kabisa hilo suala na ikibidi lifutwe maana kwa sasa hata ndani ya baraza la mawaziri Chato haina mwakilishi tena!
 
Utasubiri sana ewe chagagang
 
Nani kakuambia kwamba soko la madini liko Chato ? Nimekuambia hujui kitu unaongozwa na mihemuko tu. Kwa taarifa yako soko la madini liko Geita. Chato itakuwa mkoa na Geita itaendelea kuwa mkoa, wenye nchi wameshaamua huna la kufanya.
 

Aisee. Tarehe 14/10/2021 ndoto na maoni ya Magufuli yanatimizwa na Rais wa JMT!
 

Kama ajenda ni kutimiza ndoto na maono ya Magufuli, basi hawana budi kukamilisha yote kwa kasi ile ile. Ama sivyo wajiandae kwa hadithi ya Muarabu na ngamia wake.

Kuna mtu leo hii anayeilazimisha serikali kuanzisha mkoa wa Chato? Vigezo vimetimia?
 
Kuna wahuni bado hawaamini kwamba jiwe imebaki stori na hatarejea kamwe ,kuna mtu anaitwa Robert Gabriel huyu jamaa alikua geita yaani kuna siku alimuita jiwe ni mwana wa Mungu aliyehai kama alivyofanya Kangi, SHAME
 
Wengine pigeni kelele tu, tunaoumia ni Mimi na Anna Tibaijuka ambao maelfu ya ekari za ardhi yetu yatamegwa kutoka Muleba kwenda Chato...
Kwani yakimegwa utakosa uhalali nayo?MO mwenye mashamba makubwa karibu kila mkoa amepungukiwa Nini?au Kenyatta mwenye mashamba makubwa kote kenya amepungukiwa nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…