Nipe chorus..

Konkiii

Senior Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
118
Reaction score
82
they score hattrik
I shoot hot Kiki
they speak https://jamii.app/JFUserGuide shit
I giv them hot speech
so djay nipe biti
nifanye song hit
pasionekane kuanzia juu ya goti
mana risas zao zita shoot
na hizo min skirt
mwisho ni pale kwa geti
usije uka penetrate
wata kuvua skirt... ...
 
mmmmh, napenda sura yako na lako tabasamu
kila nikikuona huwa napata hamu.
 
Imba kimbulu, achana na hizi lugha za homaa!
 
Huyu mleta mada mbona anafanana na kritika?
 
Yoooo Naruka mikono juu zaidi ya Karius,
Maisha yangu yanaenda mbio zaidi uchumi wa kati,
Yeeean nataka kupasuka ila sijui nitadhuru nani
 
.
 
Mistari imeshiba ila naomba nitoke nje ya mada kidogo.. Kuna ngoma sijui wameimba kundi gani inaanza na "Party people" halafu na neno "like uuhh uuhhh".. Ni kama wanaongelea watu fulani wanapati baada ya likizo au wamemaliza University maana kuna sehem jamaa mmoja anaspell U.N.I.V.E.R.S.I.T.Y

Najua JF imejaa wakongwe wa mambo mengi OLDSKUL HIP HOP ikiwa moja ya hayo mambo, naombeni mnisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…