Nipe jina FM Radio

Inafunguliwa tanga sehemu gan je redio hiyo.itakua ya dini au mambo yote
 
Mkuu Money Stunna ametoa jina zuri zaidi... Amboni FM

Nami napendekeza haya mawili...

1. Sahare FM
2. Bombo FM

Kila la heri mkuu....
 
Last edited by a moderator:
This is a business, there is no free launch you need a consultant.
 

Umemjibu vyema,
Fear is failure, Ndugu anza na wazo lako, Endelea mbele, TCRA ni nani? ni mdudu gani huyo anayeweza kuzuia Uanzishwaji wa Radio ikiwa umefuata taratibu zinazostahili. Watanzania lazima tubadilike, tujenge Ujasiri wa kusaidiana na kumpa courage mtu mwenye mawazo mazuri ya Kimaendeleo. Kama wewe uliona umeshindwa ukakimbilia nje ya Nchi, sasa unataka na sisi tukimbie? Halafu nani ataijenga hii Nchi?
Ni dhambi kubwa kuikimbia Nchi yako, Ukishindwa kitu kilete kwa waliowahi kukifanya wakusaidie namna ya kupita, Siku hizi kuna Consultant wengi wanafanya kazi za radio na wengine walijitangaza hapa tangu mwaka juzi, watumieni hao wanajua wapi pa kuanza huko TCRA na wanashauri vizuri.
Tukiamua kufanya watanzania tutafanya, zaidi tukiwapuuza wale waoga maana, muoga ni Mlango wa shetani.
Ndugu songa mbele, na ukipata tatizo TCRA nitafute.
Fear not.
 
T inaweza kumaanisha tea yaani chai amabyo inalimwa tanga
 

Mh! mh! mitano?
 

Mkuu upande wa jina nadhani hakuna shida.

Cha muhimu ni maandiko yote yanayohitajika na TCRA. Yakiandikwa vizuri haichukui muda sana depends na kamati ya waziri. Tunaweza kuwasaidia kufanya kazi hii ya kuandika maandiko yote ya TCRA kwa gharama nafuu.

Asante
 
Jupiter au Mshtarii FM
Venus au Zuhura FM

Jupita au mshtarii ni sayari kubwa kuliko zote kwenye hii galaksi ya maziwa

Kama unapenada mambo ya nyota na sayari, Jina mojawapo kati ya hayo linaweza kufaa.
 
Jamii FM

Hapa nimeangalia source ya wewe kupata jina. Ni jamii forums.
Na ni jamii ya watanzania (wengi) ndio inaenda kusikiliza na kuitumia hiyo radio.
Hebu angalia sana hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…