Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inafunguliwa tanga sehemu gan je redio hiyo.itakua ya dini au mambo yote
Ndo umeamka any way kanawe uso urudi..
wewe unaendesha kazi kwa remote unategemea nini? watu wanaomba leseni ndani ya mwaka wanakamilisha kila kitu wewe unalialia tu na kuiponda nchi yako huko ulikokimbilia unafikiri kulijengwa na nani?!!
cc: Radio Producer njoo usaidie watu huku wanalialia wana miaka mitano "wanafuatilia" tcra
T inaweza kumaanisha tea yaani chai amabyo inalimwa tangaNapendekeza majina mawili mnaweza chagua moja kati ya hayo.Sababu ya kupendekeza yote mawili ni kuwa jina moja linaelekeana kdg na lililokwisha pendekezwa na mdau m1 ni idea niliyokuwa nayo kabla cjamaliza kusoma huu uzi.
Iitwe T.Fm nikimaanisha Tanga Fm Bila A km ilivyopendekezwa hapo juu au
Y.Fm nikimaanisha Youth Fm kwa kuwa inawahusu vijana zaidi.
All the Best.
wewe unaendesha kazi kwa remote unategemea nini? watu wanaomba leseni ndani ya mwaka wanakamilisha kila kitu wewe unalialia tu na kuiponda nchi yako huko ulikokimbilia unafikiri kulijengwa na nani?!!
cc: Radio Producer njoo usaidie watu huku wanalialia wana miaka mitano "wanafuatilia" tcra
Habari wadau wote jamvini. Radio mpya ya kisasa inategemewa kufunguliwa mkoani Tanga mwanzoni mwa 2015 hivyo tunaomba mawazo yenu kwenye jina la Radio. Tumeona ni vyema tukachanganya mawazo kwenye kutafuta jina la Radio hii. Yeyote atayetoa jina ambalo litaonekana linafaa kutumiwa na kituo hiki cha radio basi ataalikwa kuhudhuria ufunguzi na pia atabaki kwenye kumbukumbu ya kituo chetu. Mawazo yenu ni muhimu sana kwa wakati huu. Karibuni
Tukanawe wote uso manake jana tulilala wote
Did u enjoy last n.te