Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

Naming ya majina ni kutokana na lugha unayoogea. Islam ni tamaduni za kiarabu na lugha yao. Vivyo hivyo ukristu ni tamaduni za magharibi na lugha yao.

Hayo majina ya kikristo na kiarabu pia unaweza yapata kwenye lugha ya kisukuma na kihaya yakiwa na maana ile ile ila matamshi tofauti.

Tatizo mnashobokea tamaduni za watu na mnazifanya zenu, hata wao wanawashangaa mlivyo wajinga.

Anza kupenda vyenu.
huku afrika unapewa jina la kitamaduni ukija kujua maana yake utacheka mwenyewe, jna linaweza kuwa na maana ya Njaa, Fisi n.k 😂
 
Huo ndio ukichaa mlionao wengi. Mmefundishwa kuchukia vya kwenu na mnajiona wajanja kumbe ni trick.
 
Tumekugundua ,jina likiwekwa hapa unaenda kuuliza kwa Artificial Intelligence (CHATGPT) 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Halafu wanamdanganya, mfano Benjamini kwa Kiarabu au kwa asili anaitwa "Bin Yamini" alikuwa ndugu wa nabii Yusufu.

Wanatakiwa watu jua kuwa hiyo ChatGPT ni watu wanaingiza data unakuta watu hao vilaza au hawawatafuti wajuzi sahihi wa kuwasaidia kuweka hizo data zao.

Watu wanatakiwa kuwa makini sana na haya makitu.
 
Na baadhi ya hizo tafsiri za kiarabu anazoweka , hazipo katika uzani wa kiarabu.

Majina mengi ya kiajemi ukiyapeleka kwenye kiarabu, yanabadilika matamshi yake ili yaendane na uzani wa maneno ya kiarabu.

Mfano jina Christopher huwezi kuliandika kwa kiarabu pasi na kulibadilisha kwa kulionhezea herufi.
Kwa sababu maneno ya kiarbu hayaanzi na sukuni(saknah).
Na pia kiarabu hakina herufi "e" wala "o"
 
👎👎👎
Na wewe umepewa akili, hata kama mtu ni mwenye busara, anajua, changanya na zako
 
Na baadhi ya hizo tafsiri za kiarabu anazoweka , hazipo katika uzani wa kiarabu.

Majina mengi ya kiajemi ukiyapeleka kwenye kiarabu, yanabadilika matamshi yake ili yaendane na uzani wa maneno ya kiarabu.

Mfano jina Christopher huwezi kuliandika kwa kiarabu pasi na kulibadilisha kwa kulionhezea herufi.
Kwa sababu maneno ya kiarbu hayaanzi na sukuni(saknah).
Na pia kiarabu hakina herufi "e" wala "o"
Kwa kweli, kuna ukweli katika kile unachosema kwamba majina mengi ya kiajemi au kizungu huandikwa tofauti kwa Kiarabu ili kufuata uzani wa maneno ya Kiarabu. Hata hivyo, bado kuna majina mengi ya Kiarabu ambayo yanaweza kufanana na maana ya majina ya kizungu au kiajemi, lakini ni ya asili ya Kiarabu. Kwa hiyo, tunaweza kutumia majina haya kama mbadala kwa majina ya kizungu au kiajemi ikiwa tunatafuta majina yanayofanana kwa maana.
 
Paka Mweusi
"Paka Mweusi" kwa Arabic ni "قطة سوداء" (qittat sawdaa) na kwa jina la Kiislam tunaweza tumia "Sauda" (سوداء) ambalo linamaanisha mweusi ambalo tunaweza kulitumia kwa mtoto wa kike
 
😂😂😂😂
Miss Lenie a.k.a( Lenie Latifa ) hilo movie ushaliona ? La kitambo sana hata Youtube liko full sasa hivi. Sema huyo Queen Latifa alikuwa ni Jambazi na kauzu ile mbaya....
 
Inaitwaje hiyo movie niicheki.

Queen Latifa akiamuaga kuwa Gangstar anakua kauzu hasa
 
Samahani, sina uhakika kuhusu jina "Maduhu". Unaweza kuniambia asili ya jina hilo au maana yake ili niweze kukusaidia kupata majina mengine yanayofanana na hayo?
Hilo Maduhu ni kisukuma halafu duhu maana yake ni uchi yaani bila nguo. Sasa Maduhu sijui itakuwa na maana gani
 
Back
Top Bottom